Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Hakuna madiliko hapo lowassa anataka ikulu tu, amechemkaa!!



Kama sio mgonjwa basi nahisi utakua na kitambi cha madeal tu.....ambacho pia husababisha uchovu katika kufikiria pole sana nenda KANYANYUE VYUMA JIMU.
 
Wananchi watawashangaa kulikoni na ndipo watakapimpigia kura lowassa
 
Nduli anadhibitiwa kwa nguvu zote asilete kujua jua lazima mwaka huu aende jela!
safu ya kampeni iliyopangwa kumaliza mashambulizi ndiyo hiyo imeshika kasi
 
kwa kweli kwa upande wa vikosi kazi na organization ccm wako vizuri kuliko UKAWA.nawashauri ukawa ndani ya hizi wiki mbili zilizobaki waingize field vikosi vitatu kimoja kiongozwe na LEMA kingine kiongozwe na mbowe au lissu na cha tatu kiongozwe na mdee. wakichelewa wameliwa. hongereni sana ccm...

wananchi tunataka mabadiriko hata kama aje Obama sisi huku vijijini tushajitambua wametudanganya sana sasa basi
 
chama cha matatizo hakiwezi kuwa chama cha manufaa kwani kishakuwa chama cha magufuli anayesema atakirekebisha kwani ni chama cha mafisadi anyway ndo mda maalum kidondoke chama cha madikteta maana kwangu mimi ni chama cha maswali mengi yakujiuliza
 
Hao wastaafu wajue hiyo prnsion wanayokula na familia zao inatoka kwa waTanzania ambao wanataka mabadiliko!
 
Tunamhitaji Magufuli ikulu, Fanyeni kazi usiku na mchana maana hawa jamaa wanambinu chafu ikiwemo kukodi vijana wa kuzomea watu ili wanachama wa ccm washindwe na wawe na uoga. mwisho wao october 2015. Naamini mafuguli Raisi
 
Back
Top Bottom