Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Nakukubali sana ..Hapa kazi tu tokea siku ya kwanza, asante sana Magufuri.

Mkuu na wewe nakuomba jitaindi sana popote pale. kwa namna unavyojua kushawishi watu na kuwaeleza watu uhuni uliopangwa na kundi hili l¨¤ kihuni katika nchi yetu..
 
Kazi gizani ni moja tu ya uzinzi. Mmeshindwa kuleta umeme subirini benchi mwanaume Lowassa afanye kazi

Hivi ni nini kinachokupa jeuri kuwa lowassa atakuletea mabadiliko wakati akiwa waziri mkuu na akiwa mbunge hajafanya kitu?
Alafu ana uchu wa kuwa rais, alafu kakutana ma mafyatu wa chadema maslahi, nini kinakushawishi hapo? na utazuga ila unajua kuwa JPM ni jembe na mabadiliko yataletwa na yeye, sio lowassa tena ndani ya chadema hii isiyo ma msimamo, haiwezekani, ila tumia haki yako ya kikatiba maana wote hatuwezi mchagua JPM, lazima WACHACHE angalau wampe kura lowassa!
Ndo maisha hayo ndugu, utaki, ACHA!
 
Hilo jopo alilounda magufuli, hiyo mbona kama ilani nyingine tena inamaana kwenye ile ilani ya ccm hayo hayamo?
 
Naona hawa pimbi wameshtuka wakati kumeshakucha. Sasa hivi ni kazi ngumu sana kumbadilisha mtanzania ambae anasubiria tu tarehe 25 akafanye yake, na ni obvious itakula kwao wao wanaoona mambo si shwari adi kubuni mbinu mpya asubuhi hii. Huu ni wakati wa mabadiliko na hakuna wa kupingana nayo
VIVA UKAWA!!!
 
eti magufuli ameanza kuunda baraza la mawaziri ,wanazidi kutuongezea hasira yaani nasubiri tr24 nilale kituo cha kujiandikisha!!!
 
Na ujumbe uwafikie kabisaaaaaaaa......wakisimama waje watuambie mapungufu yao hasa huyo jk katika serikali yake na jinsi magufuri atakavyoyatatua na si kutukana.....nafikiri wanaona jinsi joto la hisia na kuchukiwa kwa chama chao inavyoongezeka tukielekea uchaguzi sasa waangalie wasijeharibu AMANI ya nchi kutukana na si kujenga hoja...ohoooooo.......
 
Hiyo Ya 5 Kama Kuna Cha Kubadilisha,mchunguze Pia Sheria Ya Mtandao Watu Wawe Huru,ifutwe Au Irekebishwe Maana Imewafanya Watu Weng Kuwa Waoga Hata Kama Walikuwa Na Uwezo Wa Kukosoa Wamejawa Na Uoga.

Achunguze Nani sheria ya mitandao? Wakati MAKAMBA ndio miongoni mwa walioiandaa.
 
Yaani mnachunguza wakati mlisema matatizo ya watanzania mnayajuwa...!!!
Anyway baneni matumizi na ongezeni juhudi kwenye haya
1. Fungeni wote wa mishahara hewa
2. Halmashauri zenye hati chafu watieni ndani wote
3. Kamata wakwepa kodi wote
4. Futa misamaha ya kodi

Ccm haiwezi, sababu yenyewe ni sehemu ya matatizo.
 
eti magufuli ameanza kuunda baraza la mawaziri ,wanazidi kutuongezea hasira yaani nasubiri tr24 nilale kituo cha kujiandikisha!!!

Mnanifurahisha mnaposema mnaongezwa hasira mnasubiri siku ya kupiga kura.

SWALI:
HIVI UKIWA NA HASIRA NA KUPIGA KURA KWA HASIRA ZINATOKA KURA MIA AU NI ILE ILE MOJA? tena kuna uwezekano ikaharibiwa hata hiyo moja. Mi nawasisitiza endeleeni kuwa na hasira.
 
Back
Top Bottom