Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
bila kuitaja katiba hayo yote ni kazi bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakukubali sana ..Hapa kazi tu tokea siku ya kwanza, asante sana Magufuri.
Kazi gizani ni moja tu ya uzinzi. Mmeshindwa kuleta umeme subirini benchi mwanaume Lowassa afanye kazi
Hiyo Ya 5 Kama Kuna Cha Kubadilisha,mchunguze Pia Sheria Ya Mtandao Watu Wawe Huru,ifutwe Au Irekebishwe Maana Imewafanya Watu Weng Kuwa Waoga Hata Kama Walikuwa Na Uwezo Wa Kukosoa Wamejawa Na Uoga.
Yaani mnachunguza wakati mlisema matatizo ya watanzania mnayajuwa...!!!
Anyway baneni matumizi na ongezeni juhudi kwenye haya
1. Fungeni wote wa mishahara hewa
2. Halmashauri zenye hati chafu watieni ndani wote
3. Kamata wakwepa kodi wote
4. Futa misamaha ya kodi
eti magufuli ameanza kuunda baraza la mawaziri ,wanazidi kutuongezea hasira yaani nasubiri tr24 nilale kituo cha kujiandikisha!!!
Magufuli ikulu hiyooooo
Magufuli ndio Rais wa awamu inayokujaDaaaa haya yote ccm imejitakia kwa kuchezea katiba ya wananchi, sasa wasubiri cha mtema kuni
Daaaa haya yote ccm imejitakia kwa kuchezea katiba ya wananchi, sasa wasubiri cha mtema kuni
Magufuli for change.