Kinana aishauri Marine Service Co. LTD kujiendesha kibiashara. Afurahishwa na UNESCO kuiingiza MV Liemba ya Tanzania kwenye orodha ya urithi wa dunia

Endelea kusikia maneno matamu huku ukiendelea kuchutamishwa
Amesahau kuwa Kinana yupo kwenye uongozi miaka nenda rudi leo hii awe na maajabu gani sasa? Jangiri na Ujinga ujinga tu!
 
Naomba kuuliza mbona vyama vya upinzani havifanyi ziara ata kuzungumza na wananchi kata au mkoa wao
 
Kosa liko wapi?

CCM ni Chama kikubwa Sana lazima uelewe
Basi nenda kashinde kwenye milango ya CCM Lumumba, hilo la CCM umelitoa wapi wakati sijaongelea popote kuhusu CCM, wewe hauna tofauti na Kimbembe wa mamakimbo.
 
Hiyo Liemba inazaidi ya 50b ukarabati
Hivi kweli huu ukarabati wa chombo cha 1900 bado kinaendelea kukarabatiwa na kutimiwa .... kwa nini tusinunue chombo kingine ambacho ni modern. Hivi kama ikitokea ajali kwa bahati mbaya .... justification kwa kitu kama hicho cha 1900 utawaambia nini victims!!? Kama UNESCO wanakitaka basi kikarabatiwe kwa ajili ya utalii ....!!
 
Hiyo meli ni hifathi ya Dunia
 
Mbona ww unashinda Ufipa na tuko kimya? what's wrong for
Basi nenda kashinde kwenye milango ya CCM Lumumba, hilo la CCM umelitoa wapi wakati sijaongelea popote kuhusu CCM, wewe hauna tofauti na Kimbembe wa mamakimbo.
 
View attachment 2342327
KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA ZAIDI,

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini Marine Service Company Limited kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za serikali Ili kukopa fedha na kununua meli mpya ili kukidhi mahitaji ya huduma za usafiri na usafirishaji katika ziwa Tanganyika.
View attachment 2342329
Makamu mwenyekiti huyo ameyasema hayo wakati alipotembelea na kukagua ukarabati wa meli ya MT. Sangara inayogharimu shilingi bilioni 8.4 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan,

Kinana ameishauri kampuni hiyo ni muhimu ifikirie kibiashara zaidi. Aidha Kinana ameipongeza serikali ya CCM Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025.
View attachment 2342332
Hiyo ni baada ya kuambiwa kuwa kama meli hiyo ambayo ni ya mafuta ikikamilika bado mahitaji ya huduma za meli kwenye ziwa Tanganyika ni makubwa na kwamba zinahitajika meli nyingine tatu.
View attachment 2342331
“Sikilizeni ndugu zangu msisubiri hela kutoka bajeti ya serikali, ombeni dhamana ya serikali mkakope mnunue meli mpya.. pesa za namna hiyo ziko nyingi duniani.” alisema Kinana.

Kinana pia alipata nafasi ya kutembelea meli kongwe kabisa duniani ya MV Liemba ambayo nayo ipo kwenye mpango wa kukarabatiwa kwa kiwango kikubwa na serikali katika mwaka huu wa fedha 2022/2023.

Meli hiyo ya Mv Liemba ina umri wa zaidi ya miaka 100 na imeingia kwenye orodha ya urithi wa dunia chini ya UNESCO.
View attachment 2342330
“Ikikamilika mniambie nitakuja na mwenezi kusafiri nayo.” alisema Kinana." Amesema Kinana

Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameanza ziara yake ya siku tano katika mikoa ya Kigoma, Kagera, Geita na Mwanza.

...........Kazi inaendelea........
We proud for MV Liemba
 
Kigoma tunampenda sana Rais Samia kuliko,
 
Back
Top Bottom