Kinana aishauri Marine Service Co. LTD kujiendesha kibiashara. Afurahishwa na UNESCO kuiingiza MV Liemba ya Tanzania kwenye orodha ya urithi wa dunia

Endelea kusikia maneno matamu huku ukiendelea kuchutamishwa
Amesahau kuwa Kinana yupo kwenye uongozi miaka nenda rudi leo hii awe na maajabu gani sasa? Jangiri na Ujinga ujinga tu!
 
Naomba kuuliza mbona vyama vya upinzani havifanyi ziara ata kuzungumza na wananchi kata au mkoa wao
 
Kosa liko wapi?

CCM ni Chama kikubwa Sana lazima uelewe
Basi nenda kashinde kwenye milango ya CCM Lumumba, hilo la CCM umelitoa wapi wakati sijaongelea popote kuhusu CCM, wewe hauna tofauti na Kimbembe wa mamakimbo.
 
Hiyo Liemba inazaidi ya 50b ukarabati
Hivi kweli huu ukarabati wa chombo cha 1900 bado kinaendelea kukarabatiwa na kutimiwa .... kwa nini tusinunue chombo kingine ambacho ni modern. Hivi kama ikitokea ajali kwa bahati mbaya .... justification kwa kitu kama hicho cha 1900 utawaambia nini victims!!? Kama UNESCO wanakitaka basi kikarabatiwe kwa ajili ya utalii ....!!
 
Hiyo meli ni hifathi ya Dunia
 
Mbona ww unashinda Ufipa na tuko kimya? what's wrong for
Basi nenda kashinde kwenye milango ya CCM Lumumba, hilo la CCM umelitoa wapi wakati sijaongelea popote kuhusu CCM, wewe hauna tofauti na Kimbembe wa mamakimbo.
 
We proud for MV Liemba
 
Kigoma tunampenda sana Rais Samia kuliko,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…