Pre GE2025 Kinana aitaka chadema kuthamini nia njema ya rais samia katika maridhiano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kwanini huku kwetu tembo wameanza kupungua kwa kasi sn hawavamii tena kwenye makazi yetu shida ni nini?
 
kwa ujinga wao wanahisi tunaishi kwa hisani yao
 
..vyombo vya habari mmetuangusha.

..mlipaswa muandae mdahalo unaohusu miswada iliyopelekwa bungeni.

..mnaweza kufanya hivyo sasa hivi ili wananchi wajue ukweli.

..andaa mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama.
Naunga mkono hoja
 
Huyu anadhani hapa tubna deal na meno ya tembo......
 
..vyombo vya habari mmetuangusha.

..mlipaswa muandae mdahalo unaohusu miswada iliyopelekwa bungeni.

..mnaweza kufanya hivyo sasa hivi ili wananchi wajue ukweli.

..andaa mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama.
Hakuna vyombo vya habari hapa, ni makanjanja tu wa kuganga njaa
 
Kinana namheshimu sana.
Lakini hapa kapwaya.
Chadema haija wahi kusema Mama Samia hana nia ya dhati.
Ila Chadema ina sema wasaidizi wa Mama akiwepo Minana hawana nia ya dhati ya maridhiano.. Kinana alipewa jukumu na Mama la kusimamia maridhiano, atoke hadharani atuambie alimshauri nini Mh Rais?
Kubusu kufhta kesi. Hii ina dhihirisha cm wali ishinikiza mahakama na polisi kuwa bambikia wana Chadema kesi. Ndio maana wakawa na uwezo wa kuzifuta.
Sasa aelewe higo sio fadbila bali ni aibu kwa chama chao na serikali wanayo ionvoza.

Na mahakama wana tamiwa watuombe radhi kuhujumu wana siasa wa upinzani kwa mashinikizo ya Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…