The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili.
Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye anashangaa.
Alikuwa Katibu Mkuu sasa ni Makamu Mwenyekiti CCM Bara hizi nafasi zilitosha yeye kuliandaa taifa kunufaika na Kiswahili, hivi akishangaa yeye sie raia wa kawaida tufanyeje!?