SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Mbowe anaokoteza Hela za wananchi mitaani wakati yeye anapanda V8Kwa hiyo mfumko wa bei na patrol vimeshuka?
Wakitoka hapo wanaanza kulia Hali ni Mbaya na ajira hakuna[emoji23][emoji23][emoji23]MATUKIO KATIKA PICHA
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abdulrahman Omari Kinana Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
#CCMImara
#KaziIendelee View attachment 2182511View attachment 2182512View attachment 2182513View attachment 2182514View attachment 2182515View attachment 2182516View attachment 2182517
Kwani Kinana naye ni mtu wa Pwani?Mipasho ya pwani tuu awamu hii.
Nchi imefunguliwa, pesa zitagawiwaje?Mapokezi ya nini na wakati yupo Dar daily?