Kinana apata mapokezi ya kishindo Dar


Ataacha kupata mapokezi ya kishindo wakati mnachota pesa hazina kuaandaa hayo maigizo? Kila kitu kimepanda bei, badala ya kushughulika na hayo mnafanya mbwembwe za kijinga kujiandaa na uchaguzi wa 2025.
 
Kwani Kinana naye ni mtu wa Pwani?

Wakati Akiwa Katibu Mkuu alifanya kazi kubwa sana kurudisha heshima ya Chama , na aliwakosoa watendaji wa Serikali waziwazi bila kupepesa macho.
Maelezo yoa wenyewe chama kilikuwa na wakati mgumu Kinana akiwa katibu
Hayo ni maelezo yao wenyewe Wana CCM, na Jana wassira kazungumzia tena hilo
 
"Panya hafundishwi kula usufi wakati ndiyo kazi yake" by shaka
😂😂😂 poleni tembo wetu , kiboko yenu kaingia town .🐘🐘🐘🐘🐘🐘
 
Huyu mtu ana mvuto mkubwa wa kisiasa na ushawishi wa kustaajabisha, anatosha kwa Urais kabisa ikiwa afya itakuwa bado njema. Mungu amlinde
Kwani wote waliompokea si wana CCM wenzake?
Kiashiria cha huo mvuto ni kipi?
 
Kwani wote waliompokea si wana CCM wenzake?
Kiashiria cha huo mvuto ni kipi?
Akikujibu nishitue,

Pia ni wale wachovu kabisa wamepewa 5,000/ na khanga na flana/ t-shirt
 
Siempre CCM🙏

SIEMPRE CCM 🙏

SIEMPRE CCM🙏
 
😍
 
KISHINDO HIKI HIKI Alipewa MAGUFULI wakati Anawasumbua huyu KINANA na MAKAMBA Watanzania WANAFIKI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…