SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Kwa uwingi huo wa wanachama Bado chadema wanalalamika wanaibiwa Kura.Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo, Jukapili 24 Aprili, 2022 alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika mikoa minne.
#ChamaImara
#KaziIendeleeView attachment 2199098View attachment 2199099View attachment 2199100View attachment 2199101
View attachment 2199102
Karibu TangaMakamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo...
Masiktiko ndio maana sas hv wamepunguza sifa kwani waliwasumbuwa sna wakulima sas HV wamenyweyaa vibayTembo wanalia[emoji24][emoji24]
Masiktiko ndio maana sas hv wamepunguza sifa kwani waliwasumbuwa sna wakulima sas HV wamenyweyaa vibayTembo wanalia[emoji24][emoji24]
Kila zama na kitabu chake sina uhakika style na approach aliyoitumia miaka hiyo akiwa katibu ikafanya kazi leo akiwa makamu na dunia ya Tz iliyopita mikononi mwa JPMMakamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo, Jukapili 24 Aprili, 2022 alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika mikoa minne.
#ChamaImara
#KaziIendeleeView attachment 2199098View attachment 2199099View attachment 2199100View attachment 2199101
View attachment 2199102
Huwajui ccm kwa maigizo weweKwa uwingi huo wa wanachama Bado chadema wanalalamika wanaibiwa Kura.
Ni mambo mawili tofauti na hayategemeani, waweza kushinda kihalali, ila ukachafua kwa kuiba kura ili ushinde kwa kishindo! Yote yawezekana!Kwa uwingi huo wa wanachama Bado chadema wanalalamika wanaibiwa Kura.
Hapo wamesombwa kutoka sehemu mbalimbali na maloriHuwajui ccm kwa maigizo wewe
CCM ilishakufaWakitoka hapo wanawatukana wale waliowawezesha wanaCCM kuwa tena na huu ujasiri wa kuvaa hiyo sare yao.
Hata chadema Wana uwingi wa watu, huoni mwenyekiti anapo join the chain na Lile nyomi? Lazima walalamike kuibiwa kura.Kwa uwingi huo wa wanachama Bado chadema wanalalamika wanaibiwa Kura.
Chukueni dola tuone kama Kuna mtu atamkataza lissu kufanya mikutano isiyo rasmi.Hivi mikutano ya hadhara imeruhusiwa au CCM peke yao?