Kinana apata mapokezi ya kishindo Handeni mkoani Tanga

Kinana apata mapokezi ya kishindo Handeni mkoani Tanga

KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO HANDENI TANGA.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndg Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza kumlaki Mkata, wilayani Handeni leo, alipowasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ikiwa ni muendelezo wa ziara yake mikoa 4 https://t.co/DuANGJoRJ3

View attachment 2199701

View attachment 2199702

View attachment 2199703

View attachment 2199704
Mbona nyuso za wananchi hazina furaha au picha ilipigwa wakati wa jua la utosi?
 
Hapo wamesombwa kutoka sehemu mbalimbali na malori
Na huko walikosombwa kama ni kweli wamesombwa wanakuwa wanachama wa Chadema waliovalishwa sare za CCM?Au ni wanachama hao hao wa CCM.
Hii hoja muflis haina mashiko na ni kujaribu kuficha ukweli kwamba CCM ina wanachama na wafuasi wengi kuliko chama chochote Tanzania.
 
Wamepiga hesabu vizuri Sana!wanajua maeneo ya pwani watamkubali mama Yao!halafu kule kanda ya ziwa wamewapa chama Chao kipya! Mbowe wanamwachia kanda ile ya kaskazini!!kwamba ccm itapata kura kule pwani na vijiji vyake!! serekali mseto ya vyama vikuu vitatu Ndio lengo Lao
 
Wanaratibu vilee! Hoja yaweza kukubalika kama tu ndio lengo lao. Isijekuwa tu wakusome hapa halafu ndio iwe kamilifu!

Vidumu!
 
Back
Top Bottom