Kinana apata mapokezi ya kishindo Handeni mkoani Tanga

Mbona nyuso za wananchi hazina furaha au picha ilipigwa wakati wa jua la utosi?
 
Hapo wamesombwa kutoka sehemu mbalimbali na malori
Na huko walikosombwa kama ni kweli wamesombwa wanakuwa wanachama wa Chadema waliovalishwa sare za CCM?Au ni wanachama hao hao wa CCM.
Hii hoja muflis haina mashiko na ni kujaribu kuficha ukweli kwamba CCM ina wanachama na wafuasi wengi kuliko chama chochote Tanzania.
 
Wamepiga hesabu vizuri Sana!wanajua maeneo ya pwani watamkubali mama Yao!halafu kule kanda ya ziwa wamewapa chama Chao kipya! Mbowe wanamwachia kanda ile ya kaskazini!!kwamba ccm itapata kura kule pwani na vijiji vyake!! serekali mseto ya vyama vikuu vitatu Ndio lengo Lao
 
Wanaratibu vilee! Hoja yaweza kukubalika kama tu ndio lengo lao. Isijekuwa tu wakusome hapa halafu ndio iwe kamilifu!

Vidumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…