Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema wanaiba uchaguzi badala ya kuiba kura?Kinana yuko sahihi, ila kwa sasa chini ya Magufuli box la kura haliheshimiwi, bali msimamizi wa uchaguzi anaagizwa amtangaze mgombea wa ccm kwa lazima.
Enzi za kina Kinana walikuwa wanaiba kura, ila sasa hivi kura haziibiwi, bali mgombea wa ccm anatangazwa kibabe kwa maagizo ya rais, bila kujali matokeo ni yapi.
Moyo wangu natamani ccm wafe wote
Mbona Abrahaman katusemeaMioyo yako na nani?usiusemee moyo wa mtu
Angelijua mioyo yetu wala asingegombea, japo tume itamtangaza lakini hapati Kura yangu.
Angelijua mioyo yetu wala asingegombea, japo tume itamtangaza lakini hapati Kura yangu.
Sio rahisi hivo,huu ni uchaguzi mkuu sio wa marudioKinana yuko sahihi, ila kwa sasa chini ya Magufuli box la kura haliheshimiwi, bali msimamizi wa uchaguzi anaagizwa amtangaze mgombea wa ccm kwa lazima.
Enzi za kina Kinana walikuwa wanaiba kura, ila sasa hivi kura haziibiwi, bali mgombea wa ccm anatangazwa kibabe kwa maagizo ya rais, bila kujali matokeo ni yapi.
Uzuri mwamba mbuyu wa siasa tegemeo Mungu kampenda zaidi alitumia akili na nguvu kuforce ushindi.Waliobaki wanategemea nguvu hapo ndo watakapo haribu kabisa.Hatukuwa tunashinda, na ndio maana madai ya tume huru ya uchaguzi hayajawahi kukoma. Ila upinzani umeendelea kujizolea viti vingi vya ubunge kila muda unavyosogea kwenye mazingira hayo hayo. Kwa maneno marahisi upinzani umekuwa kama shoka dogo linalokaribia kuangusha mti mkubwa. Ila kinachoendelea chini ya Magufuli sio wizi tena, bali ni ubakaji wa wazi wa box la kura.
Unataka kusema wanaiba uchaguzi badala ya kuiba kura?
Kwahiyo wewe kila CCM ikishinda imeiba kura. Hakuna siku CCM imeshinda kihalali.Kinana yuko sahihi, ila kwa sasa chini ya Magufuli box la kura haliheshimiwi, bali msimamizi wa uchaguzi anaagizwa amtangaze mgombea wa ccm kwa lazima.
Enzi za kina Kinana walikuwa wanaiba kura, ila sasa hivi kura haziibiwi, bali mgombea wa ccm anatangazwa kibabe kwa maagizo ya rais, bila kujali matokeo ni yapi.
Kwahiyo wewe kila CCM ikishinda imeiba kura. Hakuna siku CCM imeshinda kihalali.