johnthebaptist tunaomba Kinana aje atoe maelezo kuhsu uhujumu huu anaoufanya. na waarabu. Anaiuza Tanganyika, tunaangalia tu , hata watu ambao wangeliweza kuokoa madhira haya wamenyamazaView attachment 2983088
Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu.
Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani,swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri wa utalii?!! Kwa nini kumeambatana na dege kubwa kabisa la mizigo maporini?!! Ndege za kimataifa tunatambua hutua airport ya KIA ama Arusha Airport,hili jidege ilikuaje likaenda direct maporini?!!
Hakuna cha malipo ni kuchukua hatua kama watanganyika, hata kama ni resistanceKinana??
Mungu anamalipo yake we acha tu
Anaiuza kutokea wapi? πΌjohnthebaptist tunaomba Kinana aje atoe maelezo kuhsu uhujumu huu anaoufanya. na waarabu. Anaiuza Tanganyika, tunaangalia tu , hata watu ambao wangeliweza kuokoa madhira haya wamenyamaza
Hiyo Loliondo tusahau imeshauzwa. Kuna uwanja wa ndege midege inashuka kubeba wanyama. Huko uarabuni kila tajiri badala ya mbwa siku hizi wana simba, chui au cheetah. Tatizo ni je nchi inafaidika au ni huyo mfalme na wadau wake wenyeji tu? Tumedai mkeka miaka 30 ya umiliki wa Dubai Loliondo tumepata nini na je kwa nini ni Dubai tu. Yaani huu ukiritimba ndio tunaamini imeuzwa. Na watu hao hao Dubai wanakuja tunawapa bandari yetu kubwa ya Dar. Hapo ni baada ya kuona hila yao kutaka wamiliki bandari zetu zote nchini kwa masharti hata hayafai kulumangia ugali. Jamani viongozi wetu huu ujasiri wa kiwazimu wanatoa wapi?View attachment 2983088
Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu.
Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani,swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri wa utalii?!! Kwa nini kumeambatana na dege kubwa kabisa la mizigo maporini?!! Ndege za kimataifa tunatambua hutua airport ya KIA ama Arusha Airport,hili jidege ilikuaje likaenda direct maporini?!!
Unaleta ushabiki wa uchawa, unasahau kuwa wajukuu wako hawatakuwa na madarka kama wewe (in case uko serikalini/ccm na madaraka....maana hatujuani humu JF ingawa unaweza kukisia huyu ni fulani). Weka uchawa kando tetea tanganyika. Kesho ikizuka civil war you will not be spared. Kuepusha hayo waambie akina Kinana to stop what they are doing!Anaiuza kutokea wapi? πΌ
Kinana ni mtu hatari snView attachment 2983088
Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu.
Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani,swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri wa utalii?!! Kwa nini kumeambatana na dege kubwa kabisa la mizigo maporini?!! Ndege za kimataifa tunatambua hutua airport ya KIA ama Arusha Airport,hili jidege ilikuaje likaenda direct maporini?!!
yaani mambo yalishakwisha kitambo ati ndio leo tena ya zungumzwe?View attachment 2983088
Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu.
Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani,swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri wa utalii?!! Kwa nini kumeambatana na dege kubwa kabisa la mizigo maporini?!! Ndege za kimataifa tunatambua hutua airport ya KIA ama Arusha Airport,hili jidege ilikuaje likaenda direct maporini?!!
yaani mambo yalishakwisha kitambo ati ndio leo tena ya zungumzwe?
smart politician can't fall into that trap π
hakuna haja ya kubabaika, kuzubaa, kujichelewesha, na kung'ang'ana na mambo yaliyopita na yasio na tija πUshauri wako kwa Taifa na vizazi vijavyo ni upi?!!!
Da kweli tumbo mponza tako!!yaani mambo yalishakwisha kitambo ati ndio leo tena ya zungumzwe?