Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

Da kweli tumbo mponza tako!!
actually,
mwenyewe majukumu na wajibu mbele ya umma hawezi babaika na mambo yaliyokwishafanyika kwa uwazi tena mchana kweupe πŸ’

hayo masuala ya pua, sijui tumbo au nini ni mihemko tu isiyo na tija nadhani ni masuala yako binafsi baki nayo πŸ’
 
Kweli una muda ndugu yangu...mimi sina muda wa kujibizana na takataka.
 
Hapo hakuna cha ajabu kwani huyo ndiyo zake, kuna wakati alitaka kulazimisha meli yake ifike Ngorongoro!
 
MSUMARI UMEWAINGIA CHADEMA WASHAANZA KUUNGAUNGA VICLIP KUMCHAFUA COMRED
 
Lokasa ya mbongo. Mayenu +kwasa kwasa🀣🀣🀣🀣🀣🀣Akipokea mic nishitue pamoja na kijakazi wetu
Kuna jamaa kakamatwa huko kwao akijifanya ni Afisa Naniliu wa taifa

Ndio tunafuatilia maana Lucas kapotea hapa Jukwaani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi hizo sehemu zimekodishwa au kuuzwa shs ngapi? Na hela zimeingia mfuko Gani na mbona hatushirikishwi
 
HAPO ANAWAPIMIA KWA MIGUU ENEO JINGINE WANALOTAKA. JAMAA NI DALALI WA KUUZA ARDHI YA WATANGANYIKA MAMBO YAKIWA HOVYO ANAKIMBILIA KWAO ANAA WAACHA AKINA MWAMSHAMBWA WANALAMBALAMBA TU MIGUU HUKU WAMEJICHOKEA
 
Mfalme alifuata kitowewo mbugani!!!!! Mwarabu na nyama kama ngozi na mwili, hapo lazima aondoke na mboga ya kutosha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…