KINANA AUNGANA NA WANA CCM WENZAKE KUFANYA UCHAGUZI KATIKA SHINA LAO - KINONDONI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana leo Aprili 19 , 2022 ameungana na Wanachama wenzake wa Shina Namba 9, Tawi la Masaki, Kata ya Msasani wilaya ya Kinondoni, Mkoani Dar es Salaam kufanya uchaguzi wa Viongozi katika Shina lao. Nafasi zilizopigiwa Kura ni Mwenyekiti wa Shina na wajumbe wanne wa Kamati ya Shina.
Katika uchaguzi huo, Ndg Kizito Mahamba aliibuka kidedea baada ya kupata kura 108 za ndiyo kati ya kura 109 zilizopigwa huku moja ikiwa ya hapana.
#KaziIendelee
@ccmtanzania