Kinana awataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani

Kinana awataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani

WanaCCM wengi wamekuwa magoigoi kwenye kujenga hoja kwasababu wapinzani wao walikuwa wakitoa hoja zinajibiwa kwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka.

Kwasasa vijana wa CCM ndio wanaongoza kwa kutoa matusi, zamani tulikuwa twaona wapinzani ndio watukanaji.
 
CHADEMA YAWATOA HOFU WANA-CCM WENYE UZALENDO WA KWELI



Tutashusha madaraka yawe mikoani / majimbo ili Masuala kama ya visima vya maji, matundu ya vyoo shuleni n.k yasiwe yanapoteza muda wa kikao cha bunge Dodoma ... bali wananchi majimbo / mikoani watakuwa wanawabana magavana waliowachagua wakamilishe miradi hiyo midogo huku huku chini mikoani na akishindwa basi gavana huyo wananchi wataweza kumtimua ...

Tumeona ethiopia nini majimbo yanaweza kufanya kuleta uzalendo wa kimajimbo na kuhatarisha mstakabali wa taifa.
Si mumeona kule ethiopia namna jimbo la tigray lina jeshi lake linapigana na serikali kuu kutaka kujitenga au kuiteka serikali kuu?
Haya ni mambo ya chadema wanashikiliwa na mabeberu kwa madhumuni ya kulivuruga taifa.
Saa hizi lisu makamu wa chadema anayeishi ubeljiji anaongoza ujumbe huko ulaya kuomba msaada wa kifedha na kisiasa kwa vyama vya kisiasa vinavyotoa masharti ya ovyo kama kukubali ushoga.
Lisu huyu mwenye msimamo usio wa kizalendo na kusujudu wazungu hivi karibuni alisema kwa kujidai eti watoto wake wote ni raia wa marekani.
Watanzania wanawezaje kukiamini chama chenye viongozi kama lisu?
 
29 November 2022
Lindi, Tanzania

CHADEMA TUPO KWA WINGI MTAMA



Viongozi wa CHADEMA mkoani Lindi wamebainisha kuwa jeshi la polisi kuhangaika na wana CHADEMA mkoani Lindi ni dalili tosha kuwa CHADEMA ina mizizi, wanachama, wafuasi na mashabiki wengi kusini mwa Tanzania

Ni baada ya Nape Nnauye mbunge wa jimbo la Mtama kudai kupitia mitandao ya jamii kuwa CHADEMA haipo Mtama Lindi
 
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana amewataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani

Hii itasaidia wananchi kuelewa ujumbe wanaopewa nyakati za kuielezea Ilani ya CCM na utekelezaji wake

Source TBC
Waliong'olewa ubongo unawezaje kuwajengea uwezo ?
 
CHADEMA mkoa wa Lindi walaani ukiukwaji wa haki za kiraia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli za siasa. Hii ni baada ya jeshi la polisi kutumika kuingilia vyama vya siasa visifanye kazi

 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa wazee ndiyo wamekalia viti vijana watapata wapi, badala vibabu viwe vishauri lakini kila siku kwenye magari [emoji48][emoji48][emoji48]
Bahati mbaya huyo anayesema eti anawashauri vijana wa CCM mwenyewe ana maswali elfu kujibu kuhusu uadilifu wake nadhani hata uraia wake una mashaka
 
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa, azungumzia 'Udhaifu' walionao CCM

 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa : CCM inahusika na umasikini miongoni mwa waTanzania


Lindi, Mtwara, Iringa wakulima wanalia kuhusu mazao ya kilimo kama Korosho, mahindi....
 
sioni vijana ktk ktk hiki chama kwani wengi ni janjajanja uwezo na upeo wao ni mdogo sana!
 
uvccm hata wakisimamishwa na kingwendu wanashindwa kujibu hoja sababu wameshazoeshwa na wa kubwa ccm kutumia polisi ndio uwezo wao
 
02 December 2022

Mbarali, Mbeya

CHADEMA WAJENGA OFISI KILA KONA

 
22 November 2022

JOHN HECHE ANATEMA CHECHE MUDA HUU ''CCM IMECHOKA KABISA''


 
WANACHADEMA WAJITOLEA KUJENGA


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA asisitiza kuwa tuendelee kujenga chama maana tuna bahati Tanzania tuliteseka vibaya sana kwa miaka 6 lakini wenzetu kule Zimbabwe wanaendelea kuburuzwa kwa miaka zaidi ya arobaini pamoja ya kuwa Robert Mugabe ameondoka
 
Back
Top Bottom