Wataelewa hata kama ni udanganyifuMakamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana amewataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani
Tumeona ethiopia nini majimbo yanaweza kufanya kuleta uzalendo wa kimajimbo na kuhatarisha mstakabali wa taifa.CHADEMA YAWATOA HOFU WANA-CCM WENYE UZALENDO WA KWELI
Tutashusha madaraka yawe mikoani / majimbo ili Masuala kama ya visima vya maji, matundu ya vyoo shuleni n.k yasiwe yanapoteza muda wa kikao cha bunge Dodoma ... bali wananchi majimbo / mikoani watakuwa wanawabana magavana waliowachagua wakamilishe miradi hiyo midogo huku huku chini mikoani na akishindwa basi gavana huyo wananchi wataweza kumtimua ...
Waliong'olewa ubongo unawezaje kuwajengea uwezo ?Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana amewataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani
Hii itasaidia wananchi kuelewa ujumbe wanaopewa nyakati za kuielezea Ilani ya CCM na utekelezaji wake
Source TBC
Bahati mbaya huyo anayesema eti anawashauri vijana wa CCM mwenyewe ana maswali elfu kujibu kuhusu uadilifu wake nadhani hata uraia wake una mashaka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa wazee ndiyo wamekalia viti vijana watapata wapi, badala vibabu viwe vishauri lakini kila siku kwenye magari [emoji48][emoji48][emoji48]