KINANA: CCM inatawala na itatawala kwa muda mrefu kwa sababu ya "demokrasia" iliyoko ndani ya CCM

Tuanze na uadilifu wake yeye Kinana! Ila ccm ikiacha dhuluma, wizi, ubambikiaji kesi kwa kuwatumia mapolisi na vyombo vya usalama kamwe haiwezi kuwa madarakani
 
Sawa mkuu hii paragraph yako ya mwisho imejionyesha upeo wako wa ufahamu, na debate hii will never take us anywhere, na nimesikitika mno kwa jamii expert Kuja na hili kuwa huwezi kuchukua nchi kama vyombo vya usalama haviko upande wako!
 
Reactions: Tsh
Kweni Tembo wa Katavi nao wanasema nini🤨
 
Sawa mkuu hii paragraph yako ya mwisho imejionyesha upeo wako wa ufahamu, na debate hii will never take us anywhere, na nimesikitika mno kwa jamii expert Kuja na hili kuwa huwezi kuchukua nchi kama vyombo vya usalama haviko upande wako!
Upinzani utafute ushawishi kwenye vyombo vya usalama kwanza kisha urudi kwa wananchi. Sio vice versa. Chama chenye ushawishi ndani ya vyombo vya usalama hata vikipata sapoti ya 45% ya wananchi wana nafasi kubwa ya kuongoza kuliko mwenye 55%.
 
Ninawasihi wanaCCM katika uchaguzi mkuu nafasi ya Rais tusiangalie chama Bali ubora wa Mgombea!
 
CCM badala ya kushambulia vyama vingine vya siasa ijikite kusimamia Serikali yake kuondoa au kupunguza umaskini. Kwa nchi tajiri ya ardhi, madini, hifadhi, na maeneo makubwa ya uvuvi, inasikitisha kuwa kipato cha mtanzania bado ni chini ya $1.97 (TZS 4,500) kwa siku, sawa na TZS 1.6m/- kwa mwaka
 
CCM iko madarakani kwa sababu ya katiba mbovu inayowalinda na ndio maana hawataki kuibadilisha. Kinana haonei aibu uchafuzi wa 2019 na 2020 sababu yeye ni jangili mzoefu wa meno ya tembo
 
CCM iko madarakani kwa sababu ya katiba mbovu inayowalinda na ndio maana hawataki kuibadilisha. Kinana haonei aibu uchafuzi wa 2019 na 2020 sababu yeye ni jangili mzoefu wa meno ya tembo
Katiba yenu ikoje?

Mbona mwenyekiti wenu ni miaka 25 sasa yuko madarakani, unasemaje?
 
Hivi vyama vingine havina ukomo wa madaraka mf Chadema.

Maana nimezaliwa nimekuta Mbowe ni M/kiti mpaka leo.

Usishangae Kinana aliposema maneno hayo kuna wanaccm walishangilia huo utapeli!
 
Sasa yuko wapi wa kuitoa CCM?

JE? NI HAWA NCCR
JE? NI HAWA TLP
JE? NI HAWA CUF
JE? NI HAWA ACT
JE? NI HAWA CHADEMA

Ni kweli ni ngumu kuitoa CCM maana hivyo vyama havina vyombo vya dola vya kuviwezesha kupora uchaguzi.
 
Kwa kuwanyanyasa watumishi sio kweli.. ngumu kumeza.

Ipo siku. Nimeona watumishi wana hasira na serikali
 
Nimesikia matumizi yafedha ni mazuri mwakani ripoti ya CAG itasema mengineyo

Ccm ndgzangu hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…