KINANA: CCM inatawala na itatawala kwa muda mrefu kwa sababu ya "demokrasia" iliyoko ndani ya CCM

Nani hao wanahofia dola? Acheni visingizio jengeni demokrasia yenu

Tujenge demokrasia halafu ikitokea watu wanaanza kujitokeza kwa wapinzani wanabambikiwa kesi? Na ikifika wakati wa uchaguzi ndio tunaishiwa kuona uhayawani wa wazi, huku vyombo vya dola vikitumika wazi wazi bila aibu.
 
Sawa mkuu hii paragraph yako ya mwisho imejionyesha upeo wako wa ufahamu, na debate hii will never take us anywhere, na nimesikitika mno kwa jamii expert Kuja na hili kuwa huwezi kuchukua nchi kama vyombo vya usalama haviko upande wako!
Dola isipokupa support unaichukuaje?
 
Tujenge demokrasia halafu ikitokea watu wanaanza kujitokeza kwa wapinzani wanabambikiwa kesi? Na ikifika wakati wa uchaguzi ndio tunaishiwa kuona uhayawani wa wazi, huku vyombo vya dola vikitumika wazi wazi bila aibu.
Uko awamu ya 06 usisahau hili
 
Uko awamu ya 06 usisahau hili

Hakuna cha awamu, CCM sio chama cha kizazi hiki, hivyo kimepoteza ushawishi kwa umma, ndio maana inabidi itumike nguvu ya dola kuifanya CCM iendelee kutawala nchi hii kwa shuruti.
 
Hakuna cha awamu, CCM sio chama cha kizazi hiki, hivyo kimepoteza ushawishi kwa umma, ndio maana inabidi itumike nguvu ya dola kuifanya CCM iendelee kutawala nchi hii kwa shuruti.
Ivi kweli uifananishe CCM na chama gani Tanzania kwa umaarufu?
 
Mkuu hebu nitajie chama bora kinachozidi CCM hapa tanzanian

Dola hairuhusu chama bora kuonekana, hivyo CCM inabaki madarakani kwa shuruti, sio kwasababu ya ubora au kukosekana chama bora, bali sababu za kihistoria ambazo zimeipa nguvu, ambayo hawako tayari kuachia madaraka kwa amani hadi machafuko.
 
Sasa kama unafahamu haya kwanini usije tu CCM yaishe
 
Tatizo Upinzani hakuna watu wa maana wa kuwaachia nchi hivyo watatawala sana Tu.
 
Toka marehemu Kingunge Ngombale Mwiru wahamie Chadema, nilijua tu ccm ni taasisi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…