Kinana: Kila mwanaccm ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, wanaccm jitokezeni kugombea ndani ya chama

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
#NUKUU YA WIKI KUTOKA KWA MAKAMU MWENYEWE WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA.

"WanaCCM wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama chetu. Kila mwanaCCM ana nafasi, haki ya kuchaguliwa na kuchagua."

Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Ukumbi wa Diamond Jubilee - Dar Es Salaam, 10 Aprili 2022.

#CCMApp

 
Mimi nimekataliwa eti ni utumishi wa umma. Fomu wameninyima.

Niteteeeee kadi ninayo na niko hadi kichama ,kimwili na kiroho.


Amina
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…