MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,266
- Thread starter
- #21
Gonga hapa chini ili upate kile unachopenda kukionaHahaaaahaa
Kila ukianzisha uzi wako wa propaganda huwa unaweka picha, vp pemba kamera ziligoma?
Hahaaa mtakufa kwa vihoro mwaka huu, Serikali tatu ni lazima sio ombi wala hisani.
Lakini vile vile uache kudanganya wanaJF kuwa wewe ni mtoto wa kuzaliwa wa Mwl. Nyerere wakati hufahamu hata mlango wa nyumba yoyote ya Mwl. Nyerere.
Ulidanganya sana mpaka familia ya Mwl. Nyerere akaamua kuchukua maamuzi ya kukuonya kuhusu kutapeli watu kwa kutumia jina la Mwl. Nyerere.
Nilikuwa naongea na Joseph Butiku sasa hivi,na Mama Maria. Nimewauliza kuhusu huyu Yericko Nyerere. Hawamfahamu. Butiku amesema,watu wanajipa majina wanavyopenda; Adam Marwa ana mtoto wake mmoja tu,anaitwa Lumumba. Mimi[Butiku],mtoto wangu anaitwa Kaunda. Magige Nyerere ana mtoto anaitwa Moringe. Halafu Mama Maria akasema,Rose Nyerere ana mtoto anaitwa Luis Rwagasore,Mfalem wa Rwanda.
Kwa hiyo Butiku amesema huyu kijana kama angekuwa na namba ya simu,ningeweza kumtafuta,ili aweze kujieleza. Kwa hiyo nimempa Butiku namba ya simu ya Yericko Nyerere.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-tanganyika-na-zanzibar-221.html#post6613446