Kinana: Msilaghaike na kikundi cha wasaka madaraka kwa mgongo wa hoja ya serikali tatu.

Ndugu, Kama CCM ingekuwa inahadaa wananchi basi isingepata fursa kutoka kwa wananchi hao hao kuiongoza nchii tokea uwanja wa siasa za vyama vingi uanzishwe kikatiba.
...kwani imewahi kupata kibali cha kuongoza...?
 
Hiki ni kichekesho ................... kama UKAWA wanasaka madaraka wao CCM wanafanya nini!!?? Tatizo la CCM wamelewa madaraka such that wanafikiri hakuna Mtanzania mwingine nje ya CCM anayeweza kuongoza au mwenye haki ya kuongoza nchi hii!! CCM wamelewa madaraka mpaka wanasahau kuwa hii nchi ni ya kwetu wote na siyo ya wanaCCM peke yao!! CCM wamelewa madaraka mpaka wanadhani kuwa ni wao peke yao wenye uwezo wa kutuongoza na hakuna mwingine!! CCM wamelewa madaraka kiasi kwamba wanafikiri ni wao peke yao wenye nia njema kwa nchi yetu kuliko raia wengine!! CCM wamelewa madaraka mpaka wamesahau Watanzania tunataka nini!!
 
Ni umoja wa wazalendo wa nchi ya tanzania kwa ajili ya kutetea na kuleta katiba mpya na mabadiliko ambayo yatamkwamua mtanzania kwenye lindi la umaskini wa kutisha.. ambao probably huo umaskini haujui ma hauluumizi mtu kama wewe

Umoja huo una uhalali gani kisheria?
 
Ila wanaipenda dhambi ya kuwagawa wananchi kwa imani ya dini zao kama anavyofanya kada wao Lukuvi!

Mkuu umesahau Nassari alipotaka kumzuia Kikwete eti asikanyage Arusha na Lema awe Rais, kisha yeye (Nassari) awe Waziri Mkuu? Mimi naamini yalikuwa ni mawazo yake binafsi ila ningekuwa na akili kama ya kwako ningesema kuwa hayo ni mawazo ya CHADEMA!
 
ccm heshimuni mawazo ya wananchi na msipo yaheshimu wananchi wao wenyewe watawachukulia hatua kali hapo ndo mtakapooona kuwa wananchi wanataka nini.

Unamaanisha mawazo ya wananchi 37,000 yaheshimiwe?
 
Mkuu umesahau Nassari alipotaka kumzuia Kikwete eti asikanyage Arusha na Lema awe Rais, kisha yeye (Nassari) awe Waziri Mkuu? Mimi naamini yalikuwa ni mawazo yake binafsi ila ningekuwa na akili kama ya kwako ningesema kuwa hayo ni mawazo ya CHADEMA!
Lukuvi ni waziri hivyo kauri yake ni kauri ya serikali, kwa kuwa bichwa lako limejaa takataka za CCM badala ya ubongo huwezi kuliona hili.
 
Kinana ataka wananchi wawalinde kundi la wala rushwa, mafisadi, majangili na wauza pembe za ndovu, watoboa watu macho.
 
kwani kinena ooh shit I mean kinana yeye siyo mwanasiasa alafu yy huzunguka kutafuta nn????? meno ya tembo au madaraka????
 
Hii ni sawa na kusema "msihangaike na kikundi cha walinda madaraka kwa mgongo wa hoja ya serikali mbili"
 
Kinana anachoongea ni true kwani serikali tatu ni kutafuta madaraka kwa hao ukawa,kama wanaitakia nchi hii mema si wapigie debe serikali moja? kupigia debe serikali tatu ni ukweli usiopingika ni uroho wa madaraka.
 

ccm ccm
 
Kinachowasumbua ccm ni kwamba wameshaingia mikataba na mashetani. Na hili limefanyika baada ya Nyerere kutokuwepo. Sasa unadhani watatekelezaje bila ya kuwa na mazingira yanayowaruhusu. Sasa wanasahau kuwa Mungu ana nguvu zaidi ya shetani. Hawajui kuwa hata kama sio UKAWA, wakatibumefikia na shetani anatakiwa kushindwa.
 
Mtu mwenye akili akikushauri jambo lab kijinga na ukakubali atakudharau. ccm wanavyotukomalia tuikatae UKAWA tukikubali watatudharau sana kuwa tulipata mkombozi tukashindwa kumtumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…