Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

The colour of the cow isn't matter most than its milk

Duniani humu mmoja atwaliwa mwingine aachwa
 
Hii ni janja ya CCM kupumbaza watanzania ili ionekane kanda ya ziwa nayo ina kiongozi wa juu

Makonda,
Chalamila,
Nchimbi,
Wassira

Hao wote si chaguo la mama bali wanasomq upepo unavumaje
 
Ni ishara ya mama kuchokwa na wana ccm wenzake
 
Unashangaa nini sasa? Hujui mtu akizeeka sana anarudia utoto na kuanza kukua tena? Alisharudia utoto mwenzio na keshakua sana sasa hivi kijana tena! Kinana naye atakua atarudia badaye
 
Kinana ni retired and tired, but Wassira ni retired but not tired
 
Umri wa miaka 80 kumbukumbu huanza kupungu,maamuzi hutegemea ushauri wa wengine.
Ni mtu sahihi kwa watu wenye Nia ovu,kupitisha mambo yao kwa mgongo wake.
Nimekaa palee👉
 
Hii inaitwa "kanunua simu kampa demu, walipoachana, kampokonya"
 
Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!

Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Umri ni naomba ndg. Kujiuzulu siyok kustaafishwa kwasababu ya umri ni uamuzi binafsi. Umakamu m/kiti wa CCM siyo kazi ya kuajiriwa. Nenda kasome MAJUKUMU yake. Siyo kila kitu kulalamika na kujifanya mjuaji wakati hakuna unalojua
 
Hii ni janja ya CCM kupumbaza watanzania ili ionekane kanda ya ziwa nayo ina kiongozi wa juu

Makonda,
Chalamila,
Nchimbi,
Wassira

Hao wote si chaguo la mama bali wanasomq upepo unavumaje
Kanda ya ziwa Ina Nini mpk ipumbazwe. Acha kujipa umuhimu usiokuwepo kwa minajili ya ukanda. Nchi hii ni moja hakuna Mambo ya ukanda, niambie kiongozi wa huo ukanda. Hakuna kitu kinaitwa Kanda ya ziwa ktk mgawanyo wa Jambo lolote. Acha ushamba.
 
Umri wa miaka 80 kumbukumbu huanza kupungu,maamuzi hutegemea ushauri wa wengine.
Ni mtu sahihi kwa watu wenye Nia ovu,kupitisha mambo yao kwa mgongo wake.
Nimekaa palee👉
Huyo ni wewe kwenye udumavu wa lishe. Yule mzee Yuko vizuri kuliko wewe
 
Back
Top Bottom