Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Kuna mambo mengine hayaelezeki kirahisi. Maana wanayopanga na kutekeleza wanakuwa na agenda nyingine nyingi.
Sisi waja tunaomtegemea Mwenyezi Mungu, tunashangaa na kuyaweka yote mikoni mwake.
Mwenyezi Mungu atunusuru. Hii ya kufikiria kuandaa viongozi wazuri ni kama agenda iliyokufa.
Ndio maana tunayaona haya