Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Unacheka!😆😆😆😆
Hata mtumishi unaweza kustaafu Kwa maslahi ya Umma .Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Mzee atawaroga endeleni kumtaja tajaUkistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Umri ni naomba ndg. Kujiuzulu siyok kustaafishwa kwasababu ya umri ni uamuzi binafsi. Umakamu m/kiti wa CCM siyo kazi ya kuajiriwa. Nenda kasome MAJUKUMU yake. Siyo kila kitu kulalamika na kujifanya mjuaji wakati hakuna unalojuaUkistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Kanda ya ziwa Ina Nini mpk ipumbazwe. Acha kujipa umuhimu usiokuwepo kwa minajili ya ukanda. Nchi hii ni moja hakuna Mambo ya ukanda, niambie kiongozi wa huo ukanda. Hakuna kitu kinaitwa Kanda ya ziwa ktk mgawanyo wa Jambo lolote. Acha ushamba.Hii ni janja ya CCM kupumbaza watanzania ili ionekane kanda ya ziwa nayo ina kiongozi wa juu
Makonda,
Chalamila,
Nchimbi,
Wassira
Hao wote si chaguo la mama bali wanasomq upepo unavumaje
Huyo ni wewe kwenye udumavu wa lishe. Yule mzee Yuko vizuri kuliko weweUmri wa miaka 80 kumbukumbu huanza kupungu,maamuzi hutegemea ushauri wa wengine.
Ni mtu sahihi kwa watu wenye Nia ovu,kupitisha mambo yao kwa mgongo wake.
Nimekaa palee👉