Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Ccm wamsaidie mama yetu kunakitu hakipo sawa.Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Jibu Kwa hoja Mimi so mshambaKanda ya ziwa Ina Nini mpk ipumbazwe. Acha kujipa umuhimu usiokuwepo kwa minajili ya ukanda. Nchi hii ni moja hakuna Mambo ya ukanda, niambie kiongozi wa huo ukanda. Hakuna kitu kinaitwa Kanda ya ziwa ktk mgawanyo wa Jambo lolote. Acha ushamba.
Kwani Obama alivoondoka madarakani alikua na miaka mingap, na kijiti akashika Trump alikua na miaka mingap ?Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
1️⃣ Kinana hajastaafu kwaajili ya umri bali ni maamuzi binafsi kama chongolo alivyojiuzulu nafasi ya ukatibu mkuu.Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Juni 14 mwaka kesho Donard Trump atakamilisha mika 80 na Bado ataendelea kuiongoza Marekani hadi mwaka 2029.Umri wa miaka 80 kumbukumbu huanza kupungu,maamuzi hutegemea ushauri wa wengine.
Ni mtu sahihi kwa watu wenye Nia ovu,kupitisha mambo yao kwa mgongo wake.
Nimekaa palee👉
Tukiwambia CCM imejaa wajinga wengi huwa hawataki kuukubali ukweli huo, wanakubalije babu kabisa miaka 80 awe kiongozi ndani ya chama kikongwe hizi ni dalili za kuishiwa mbinu na mipangoUkistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni!
Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.