njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe
Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni kuwakejeli na kuwasuta walalamikaji, Tcra ndo usiseme wanakuja na data kwamba Tanzania bei ya bando n nafuu mno kwa afrika
Tusaidie mzee Kinana, najua wewe nape hawezi thubutu kukukejeli