njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kwa vile kakurupuka la Traffic na viongozi wa Polisi wasivyo na akili bila kuchuja akili ya mtoa mada wakalivalia njuga kuwasakama Askari wao?Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe
Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni kuwakejeli na kuwasuta walalamikaji, Tcra ndo usiseme wanakuja na data kwamba Tanzania bei ya bando n nafuu mno kwa afrika
Tusaidie mzee Kinana, najua wewe nape hawezi thubutu kukukejeli
Tunaomba akurupuke na hili la DATA /bandoKwa vile kakurupuka la Traffic na viongozi wa Polisi wasivyo na akili bila kuchuja akili ya mtoa mada wakalivalia njuga kuwasakama Askari wao?
Ni kawaida nchi hii kufanya kazi Kwa milipuko. Baada ya ajali ya Mtwara magari yote ya shule nchi nzima yanakaguliwa.
sawa mkuu kila mtu apigie kelele anachoona cha muhimu, wengine wanapigia kelele simba na yanga mimi napigia kelele bando ni sehemu ya maisha yanguBasic need kwa mtu mzima na rijali ni chakula, makazi, mavazi na kujamiana.
Data sio basic need mazee, pigia kelele ishu za msingi.
Ukimaliza kupiga kelele njoo chimbo nikuoneshe jinsi ya kutumia data bure kabisa.sawa mkuu kila mtu apigie kelele anachoona cha muhimu, wengine wanapigia kelele simab na yanga mimi napigia kelele bando ni sehemu ya maisha yangu
Kwa hili ndugu umeongea pumba, na umejidhalilishaBasic needs kwa mtu mzima na rijali ni chakula, makazi, mavazi na kujamiana.
Data sio basic need mazee, pigia kelele ishu za msingi.
Ukimaliza kupiga kelele njoo chimbo nikuoneshe jinsi ya kutumia data bure kabisa.Kwa hili ndugu umeongea pumba, na umejidhalilisha
Kwa dunia ya sasa hizo basic needs watu wanaweza kuzimudu kupitia Internet hususan biashara za mtandaon n.k
Kuna watu ili waweze ku afford hizo basic needs (mavazi, makazi, chakula n.k) kwanza wanahitaji data.Basic needs kwa mtu mzima na rijali ni chakula, makazi, mavazi na kujamiana.
Data sio basic need mazee, pigia kelele ishu za msingi.
na kupm sasa hivi,asante aisee huo ndiyo msaada sasa niachane na ungesengese unaoendeleaUkimaliza kupiga kelele njoo chimbo nikuoneshe jinsi ya kutumia data bure kabisa.
na kupm sasa hivi,asante aisee huo ndiyo msaada sasa niachane na ungesengese unaoendelea
hiyo ndiyo njia ya kutumia internet bure unayosema wewe?View attachment 2308848
Hii ni leo mpaka muda huu
ana enjoy maisha kupita kiasi watu wakilalamika anawaona hawana akili kabisa, dahNape akiambiwa kuhusu vifurushi analetaa majibu ya kifalaaaa..