Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Huna ushahidi.Mzee wa meno ya Tembo. Tutafika tu lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna ushahidi.Mzee wa meno ya Tembo. Tutafika tu lakini.
Kinana katofautiana na padri muasi Dr W Slaa
Huyu #Kinana asituingize choo cha kike.Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema ni wakati wa Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliokutwa wameenda kinyume na maadili katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Amesema, "CAG hazushi, anafanya kazi zake kitaaluma. Katika Ripoti zake anaeleza kasoro nyingi na mambo yasiyofaa ambayo yamefanyika ikiwemo upotevu wa Fedha za Umma na matumizi mabaya"
Amesema Vyombo husika vya Serikali vina wajibu wa kuchukua hatua ili Fedha za Wananchi zisichezewe
Kinana ni mtu sanaMakamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema ni wakati wa Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliokutwa wameenda kinyume na maadili katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Amesema, "CAG hazushi, anafanya kazi zake kitaaluma. Katika Ripoti zake anaeleza kasoro nyingi na mambo yasiyofaa ambayo yamefanyika ikiwemo upotevu wa Fedha za Umma na matumizi mabaya"
Amesema Vyombo husika vya Serikali vina wajibu wa kuchukua hatua ili Fedha za Wananchi zisichezewe
Imetoka hiyo na tukiamka tutaanza kufungua album taratibu.Lala tu kama huna cha kuandika
Eti sasa anajifanya kuwa mr msafi. Ingekuwa ni China angeshanyongwa tayari kwa kuhujumu uchumi.Nimemuangalia usoni kwenye hii picha yake ni kajikuta na sema kwa sauti ya Mwl Nyerere hata wewe unamoral autority ya kuyasema haya?!!! Meli inayobeba mzigo isiyo jua ni kitu gani ilichobeba as long as umelipiwa nauli ya kuusafirisha.
Alipotajwa si useme?Hivi huyu hajawahi kutajwa kwenye tuhuma zozote ? Alichukuliwa Hatua ?
Naomba tufuate ushauri wake ipasavyo... ila sio CAG tu bale tuhuma zozote zichunguzwe na mwisho wa siku haki itendeke
Eti sasa anajifanya kuwa mr msafi. Ingekuwa ni China angeshanyongwa tayari kwa kuhujumu uchumi.
Aliwahi kuuza mitambo ya chanel 10 na mwisho wakaiuza kabisa mpaka pale maguful alivyoirudisha.Hivi huyu hajawahi kutajwa kwenye tuhuma zozote ? Alichukuliwa Hatua ?
Naomba tufuate ushauri wake ipasavyo... ila sio CAG tu bale tuhuma zozote zichunguzwe na mwisho wa siku haki itendeke
😍😍😍
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema ni wakati wa Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliokutwa wameenda kinyume na maadili katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Amesema, "CAG hazushi, anafanya kazi zake kitaaluma. Katika Ripoti zake anaeleza kasoro nyingi na mambo yasiyofaa ambayo yamefanyika ikiwemo upotevu wa Fedha za Umma na matumizi mabaya"
Amesema Vyombo husika vya Serikali vina wajibu wa kuchukua hatua ili Fedha za Wananchi zisichezewe
Aliwahi kuuza mitambo ya chanel 10 na mwisho wakaiuza kabisa mpaka pale maguful alivyoirudisha.
Hayao mambo anayasema kwa kuwahadaa wana nchi ila yakigusa washirika hutamsikia tena.
Hata hivyo ni danganya toto ili ionekane kaja na jipya ila baada ya hapo hawezi kuleta mrejesho.
Slaa anasema CAG Muongo , nini maoni yako ?Itakuwa vizuri zaidi. Naunga mkono hoja ya Kinana
Ukipanda bus la Mzee Mtei na umbeba magendo inamhusuje mwenye bus. Ukipakia mizigo kwenye treni ikashikwa na kugunduliwa pembe za tembo jee shirika la reli na serekali yenye mali wanahusika na hizo nyara? Tuwache unyumbuNimemuangalia usoni kwenye hii picha yake ni kajikuta na sema kwa sauti ya Mwl Nyerere hata wewe unamoral autority ya kuyasema haya?!!! Meli inayobeba mzigo isiyo jua ni kitu gani ilichobeba as long as umelipiwa nauli ya kuusafirisha.
Waanza kwenye Chama.