Kinana: Waacheni wakulima wauze mazao yao sehemu yoyote wanayodhani watapata bei nzuri

View attachment 2343997

Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao.

Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi, Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kinana amesema nia ya mkulima na mfanyakazi ni kuondokana na umasikini na siyo kukutana kubaki katika umaskini kwa sababu ya vikwazo.

“Watu wanalima, watu wanafanyakazi ili kuondokana na umasikini sio kuendelea na umaskini kwa sababu ya vikwazo. Wakati wa kulima hatuwasaidii, wakati wa kupalilia hutuwasaidii, wakati wa kuweka dawa hatuwasaidii,wanapokwenda kuvuna hatuwasaidii, wakishavuna wanataka kuuza wanapoona watapata bei nzuri ndipo na sisi wenye utaratibu tunajitokeza sio sawa.

Ajabu shamba ni la mkulima, kahawa ni yake, mkulima ndio kavuja jasho lakini mnanizuia kuuza ninapoona bei ni nzuri basi nileteeni mwenye bei nzuri niwauzie. Naomba tujiepushe kuwawekea wananchi wetu mazingira magumu wanapotaka kuuza mazao yao.“ alisema Kinana huku akishangiliwa.

Kinana amemuomba mkuu wa mkoa wa Kagera kuwalinda wakulima wanapotaka kuuza kahawa yao nje.

“Hakuna kahawa ya magendo, Kahawa ni yangu nikitaka kuiuza popote kwa yoyote mwenye bei nzuri inakuaje magendo?” Aliuliza Kinana

Kinana ameongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika ziara yake iliyoanzia mkoani Kigoma anatarajiwa kuelekea mkoani Geita kabla ya kuhitimisha katika mkoa wa Mwanza.

#CCMImara #KaziIendelee
 
Hayo yako majungu mzee, Kinana ni miongoni mwawazee waadilifu Sana,
 
Nimependa kauli zake tu zanifariji mimi mvuja jasho.Tatizo je maagizo yatatekelezwa?Mana ye mtu wa chama c serikali.Kauli hii angeitowa waziri wa kilimo ingekua sawa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nimependa kauli zake tu zanifariji mimi mvuja jasho.Tatizo je maagizo yatatekelezwa?Mana ye mtu wa chama c serikali.Kauli hii angeitowa waziri wa kilimo ingekua sawa.
 
Njaa ikikufikia tambua umefeli mwenyewe
Limaau tafutapesa nyingi zaidi njaa haitakuja kwako kamwe
Haitakiwi ufikirie kwa ajili yako mwenyewe tu.

Tunaishi kwenye jamii tunategemeana.

Akiathirika jirani yako hata kama una uwezo kiasi gani utaathirika pia kwa namna moja au nyingine.
 
View attachment 2343997

Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao.

Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi, Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kinana amesema nia ya mkulima na mfanyakazi ni kuondokana na umasikini na siyo kukutana kubaki katika umaskini kwa sababu ya vikwazo.

“Watu wanalima, watu wanafanyakazi ili kuondokana na umasikini sio kuendelea na umaskini kwa sababu ya vikwazo. Wakati wa kulima hatuwasaidii, wakati wa kupalilia hutuwasaidii, wakati wa kuweka dawa hatuwasaidii,wanapokwenda kuvuna hatuwasaidii, wakishavuna wanataka kuuza wanapoona watapata bei nzuri ndipo na sisi wenye utaratibu tunajitokeza sio sawa.

Ajabu shamba ni la mkulima, kahawa ni yake, mkulima ndio kavuja jasho lakini mnanizuia kuuza ninapoona bei ni nzuri basi nileteeni mwenye bei nzuri niwauzie. Naomba tujiepushe kuwawekea wananchi wetu mazingira magumu wanapotaka kuuza mazao yao.“ alisema Kinana huku akishangiliwa.

Kinana amemuomba mkuu wa mkoa wa Kagera kuwalinda wakulima wanapotaka kuuza kahawa yao nje.

“Hakuna kahawa ya magendo, Kahawa ni yangu nikitaka kuiuza popote kwa yoyote mwenye bei nzuri inakuaje magendo?” Aliuliza Kinana

Kinana ameongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika ziara yake iliyoanzia mkoani Kigoma anatarajiwa kuelekea mkoani Geita kabla ya kuhitimisha katika mkoa wa Mwanza.

#CCMImara #KaziIendelee
Kwenye hili yuko sahihi kwa sababu mavyama ya ushirika yawe kama bodi ya nafaka mchanganyiko au NFRA kwamba Kazi zao ziwe ku stabilise price na wao pia kufanya biashara sio kulazimisha wakulima kupeleka Mazao kwenye maghala..

Kama Uganda au sehemu yeyote kuna soko wao wapeleke huko na Halmashauri na Wizara ya Kilimo wao wakusanye mapato tuu..
 
Haitakiwi ufikirie kwa ajili yako mwenyewe tu.

Tunaishi kwenye jamii tunategemeana.

Akiathirika jirani yako hata kama una uwezo kiasi gani utaathirika pia kwa namna moja au nyingine.

Mkuu katika nchi yetu robo tatu ya wananchi ni wakulima Kwa shida haipo beinzikiwa nzuri Wakulima wa mahindi ambao ndio wengi katika hao wakulima wa nchi ndipo wananufaika
 
View attachment 2343997

Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale wanapotaka kuuza mazao yao.

Akizungumza na wana CCM na wananchi waliyojitokeza kumlaki Nyakanazi, Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kinana amesema nia ya mkulima na mfanyakazi ni kuondokana na umasikini na siyo kukutana kubaki katika umaskini kwa sababu ya vikwazo.

“Watu wanalima, watu wanafanyakazi ili kuondokana na umasikini sio kuendelea na umaskini kwa sababu ya vikwazo. Wakati wa kulima hatuwasaidii, wakati wa kupalilia hutuwasaidii, wakati wa kuweka dawa hatuwasaidii,wanapokwenda kuvuna hatuwasaidii, wakishavuna wanataka kuuza wanapoona watapata bei nzuri ndipo na sisi wenye utaratibu tunajitokeza sio sawa.

Ajabu shamba ni la mkulima, kahawa ni yake, mkulima ndio kavuja jasho lakini mnanizuia kuuza ninapoona bei ni nzuri basi nileteeni mwenye bei nzuri niwauzie. Naomba tujiepushe kuwawekea wananchi wetu mazingira magumu wanapotaka kuuza mazao yao.“ alisema Kinana huku akishangiliwa.

Kinana amemuomba mkuu wa mkoa wa Kagera kuwalinda wakulima wanapotaka kuuza kahawa yao nje.

“Hakuna kahawa ya magendo, Kahawa ni yangu nikitaka kuiuza popote kwa yoyote mwenye bei nzuri inakuaje magendo?” Aliuliza Kinana

Kinana ameongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika ziara yake iliyoanzia mkoani Kigoma anatarajiwa kuelekea mkoani Geita kabla ya kuhitimisha katika mkoa wa Mwanza.

#CCMImara #KaziIendelee
Good, jiwe alitubania Sana wakulima,
 
Huyu mzee anatafuta kufia kwenye majukwaa. Kama alishindwa kukiwa chama salama kipindi cha JK hadi chama kutaka kuwafia mikononi hatoweza sasa.

Kwanza kwa nafasi yake hakutakiwa kuwa mtu wa field, alitakiwa asimame kama mwenyekiti kwa maana ya msaidizi wa mwenyekiti ambaye ni rais. Kuhakikisha anasimamia oganaizesheni zote za chama.

Sasa hapa yeye ndio mpiga ngoma na yeye ndio mchezaji.

Labda kama anatafuta perdiem. Angalia hata idadi ya watu kwenye huo mkutano.
Mbona magufuli Alikuwa anazunguka Nchi nzima Kama vile Hana wasaidizi,

Nyie misukule furaha yenu nikuona serikali ya Samia inashindwa wajinga nyie
 
Mkuu katika nchi yetu robo tatu ya wananchi ni wakulima Kwa shida haipo beinzikiwa nzuri Wakulima wa mahindi ambao ndio wengi katika hao wakulima wa nchi ndipo wananufaika
Kusema kwamba mkulima aruhusiwe kuuza mazao yake popote sio sawa kwakua wakulima wetu hawazalishi kwa viwango vikubwa kuweza kupeleka huko kwenye masoko mazuri.

Wanaofanya hivyo ni wafanya biashara wanao dunduliza hapa na pale na kupeleka nje ya nchi au katika masoko ya ndani.
 
Haitakiwi ufikirie kwa ajili yako mwenyewe tu.

Tunaishi kwenye jamii tunategemeana.

Akiathirika jirani yako hata kama una uwezo kiasi gani utaathirika pia kwa namna moja au nyingine.
Inaonekana, uwezo wako kifikra na katika utaalam wa kiuchumi, ukilinganisha wa kwako na mzee Kinana, wa kwako ni kibaba katika pipa (uwezo wa Kinana).

Ukitaka kuongeza uzalishaji kwenye kilimo, ni lazima kilimo kivutie katika tija. Sera za mara usiuze, mara usipeleke wapi, ni sera za watu wajinga kwa sababu ni sera zitakazosababisha upungufu wa chakula.

Wakulima waachwe wawe huru, huru kabisa kuuza mazao yao popote wanapoweza kupata bei nzuri ya mazao yao. Hali hiyo itasababisha bei za mazao kupanda. Hali hiyo italeta tatizo la muda mfupi la kupanda bei za vyakula. Muda ufakavyoenda, wengi wataingia kilimo. Wengine kwa kuzalisha chakula chao wenyewe, wengine kwaajili ya biashara. Baadaye uzalishaji utakuwa mkubwa, na kufurisha soko. Mwishowe bei zitashuka tena kwa kiwango fulani. Zinaweza zisishuke kama bei za mazao nje ya mchi zitaendelea kupanda.

Tena ingewekwa kwenye katiba kabisa kuwa mkulima, kama walivyo wafanyabiashara na wenyewe viwanda, wakati wote atakuwa huru kuuza huru mazao yake mahali popote pale penye kumpa tija, alimradi anafuata sheria,
 
Wewe umeangalia upande mmoja wa walaji hujaangalia upande wa Wakulima
 
Kuwazuia watu kupeleka chakula nje itasababisha upungufu wa chakula??

Kweli wewe mtaalam wa uchumi.
 
Hakika, ila kulingana na system hilo haliwezekani...
 
Back
Top Bottom