Kinana: Waacheni wakulima wauze mazao yao sehemu yoyote wanayodhani watapata bei nzuri

Haitakiwi ufikirie kwa ajili yako mwenyewe tu.

Tunaishi kwenye jamii tunategemeana.

Akiathirika jirani yako hata kama una uwezo kiasi gani utaathirika pia kwa namna moja au nyingine.
Huyu jirani unayetaka akufikirie ww unamfanyia nn? Shamba lake, pembejeo zake, nguvu kazi yake, kwann mavuno yakuhusishe ww usiyelima?
 
Huyu jirani unayetaka akufikirie ww unamfanyia nn? Shamba lake, pembejeo zake, nguvu kazi yake, kwann mavuno yakuhusishe ww usiyelima?
Nailed,Wanashangaza sana
 
Reactions: Tsh
Inaonekana unajua sana job description ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, mbona hukuteuliwa wewe kuwa Makamu Mwenyekiti? Achana na ujuaji.
 
Huyu mzee simuelewi miaka zaidi ya 70 sasa bado anazurura tu si apumzike

Au yeye anajiona bado kijana sana
 
NENDA USA UKAONE, RAIS BIDEN NDIO UMRI WAKE HUO

Uongo sera ya Chadema 2020 ilikuwa hata haileweki eti ohh tunataka maendeleo ya watu sio vitu
-Ww huelewi, na hukuisoma sera ya chadema ya 2020, Kauli mbiu yake ilikuwa ni Uhuru,Haki na Maendeleo ya Watu, kama kwa ccm waliposema 'hapa kazi tu'
- sera ya chadema ya 2020 ilikuwa na mambo mengi miongoni mwao ilikuwa ni haki ya mkulima/ wakulima kuuza mazao yao popote penye bei nzuri na yenye faida maradufu, hiyo ni sehemu ya ile kauli mbiu ya HAKI- haki za wakulima.
 
Anamaliza tozo zetu pasipo sababu, kwani serikali ikituma walaka kwa wakuu wa mikoa na wilaya hautoshi?
 
Mzee wa kungata na kupuliza.

Onyesha akipinga TOZO kwenye utawala unajiita wa sita ndio nitaamini anachokisema kamaanisha.
 
Baada ya tamko lake akiwa Tunduma juu ya wingi wa traffic barabarani tumeshuhudia kuongezeka kwa ajali za magari. Je, tutegemee Nini baada ya kauli yake hii?
 
..Mzee Kinana ameiga hoja za Tundu Lissu wakati wa kampeni za 2020.

..Sasa naelewa kwanini Ccm hawataki Chadema wafanye mikutano ya hadhara.

Nakubaliana na Mzee Kinana 100%
 
Asante Sana CCM watanzania tunajivunia CCM,
 
Kauli za kiutu za kiongozi makini Kinana
 
CCM YANGU IMERUDI UPYAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…