Kinana: Waacheni wakulima wauze mazao yao sehemu yoyote wanayodhani watapata bei nzuri

Kaa na wabunge wako mliosaidiana kuiba kura muweke sheria hiyo siyo story tuu, upumbavu tumechoka
 
Amandla
 
Tunataka na wakulima wafaidi jasho lako
 
Juhudi za kumsimika FDR HIZI!

Wanajaribu kufuata nyayo za jabali fulani!

Waache sarakasi

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
 
Kaa na wabunge wako mliosaidiana kuiba kura muweke sheria hiyo siyo story tuu, upumbavu tumechoka
Yaani bosi wake ni Mwenyekiti wa chama na ndiye Rais. Bungeni wote huko ni wao. Kwenye halmashauri zote wanaongoza wao. Wanashindwa nini kuyafanyia kazi hayo badala ya kuja huku na kutoa 'wito'?
 
💯💯💯💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…