Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi wilayani Tarime mkoani Mara na kusafirisha ndani na nje ya nchi
Katika tukio lingine mkoani humo, alimkatwa Simoni Gervas Mkonda (51) akiwa na kilogramu 193 za bangi pamoja na silaha aina ya bastola ikiwa na risasi 11 ambayo amekuwa akiimiliki kinyume cha sheria na kuitumia kulinda biashara zake haramu.
Hayo yamebainihswa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, akizungumuza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam
Chanzo: ITV DIGITAL