Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Alikuwa sahihi katika hoja ipi?
Kwa taarifa yako (hata hivyo najua, unaelewa kila kitu lakini unajaribu kuficha kichwa kama mbuni), kinara wa mkakati wa kutaka Magufuli asipewe uenyekiti ni mwenyekiti mwenyewe! Huyu unayemwandika hapa ni mtu mdogo sana na hana ubavu wowote wa ku-organize mipango kama hiyo. Mzee wa msonga ndie planner mkuu, lakini baada ya kuona watu wengi wamekuja juu akaamua kufanya u-turn. Na kwa taarifa (ambayo najua unayo). Gwajima alitumwa na mtu maalum kusema yale aliyosema juu ya Magufuli kuwekewa mikingamo. Anyaway, zipigwe kura za siri au wazi au hata za kukimbia lakini Magufuli anakuwa mwenyekiti mpya. Kambi ya wasiotaka haina uwezo wa kutengua chochote.
 
Kuwa kuna figisufigisu za chini kwa chini za kumuwekea mizengwe JPM asipewe uenyekiti wa chama
Katika hilo hakuna aliyembisha. Ila kumshauri Magufuli aanzishe chama chake hakika hakuwa sahihi
 
kATIBU MKUU MSAIDIZI SI MTU WA KUPUUZA.
KAMA UNAKIRI KUWA ALITIA NDANI FEDHA YA UCHAGUZI
BASI HII INANIFANYA NIAMINI KUWA CHAMA HIKI NI UKOO
WA PANYA,ILIKUWAJE MTU KAMA HUYU AKAFIKIA KUSHIKA NGAZI KUBWA
NAMNA HII NA BADO NI MBADHILIFU.NAUNGA MKONO MH.RAIS AINGIE HUKO
NA FAGIO LAKE LA CHUMA.hUYO LUHWAVI HUENDA ANA WATOTO
TUNATAKA NAO WATUMBULIWE.
 
Abarikiwe sana mchungaji Gwajima
 
Lizaboni ameingia mzigoni tuwe na subira mimi huwa namwaminia sana.
Mzigoni gani tena? Kuna ambacho kilikuwa hakijulikani? Au wewe ulikuwa unafikiri mzee wa Msoga ana nia ya kweli ya kuachia uenyekiti? Ebo! Hana jinsi tu baada ya kuelemewa na wazee wa CCM wenye busara!
 
Wacha li ccm lisambaratike,na hapo bado
 
Hahahahahaaaaaaa! Ni kazi ya mikono yangu hiyo Mkuu. Hutapata mahala pengine nje ya hapa JF. Lizaboni ni wa level nyingine Mkuu
Wadanganye wasiyo kujua,ccm ndiyo horowaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Hivi kumbe kuna watu bado wanaamini Lizaboni ni RC Makonda? Kazi kwelikweli. Makonda alivyo busy na kazi na Lizaboni alivyo busy na kutujiza mambo mbalimbali humu jf siamini kama anaweza kuwa mtu mmoja
Huwa wana nichekesha sana ...laiti wangejua...wasingalisema hivyo...
 
Niliwahi kupinga wapi? Nimesema kwenye uzi huu kuwa nilipoona kelele zinazidi, niliamua kuingia chimbo na haya ndo niliyoyabaini
Na jiandae kufungasha vilago vyako kurudi kwenu kalulu mara baada ya nkm kupeta na hiyo nafasi yake maana hiyo lumumba utaiskia kama ukonga
 


Mmmmmmmmmmh.....Taarifa nzito sana hii...wewe Lizaboni unao ushahidi wa uliyoyaandika hapa, lakini????...kuna watu humu waliwaaminisha baadhi ya watu humu JF kwamba yule DED Luhende ana diploma ya Hotel management...JPM akawaumbua, kumbe Luhende wa watu ana Masters na ni mtumishi wa serikali....
 
huyu jamaa hafai kanisani wala msikitini. Anataka kufisha ndoto za watanzania kua na Taifa lenye maendeleo?
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, sasa ni vipande vipande
 
Hakuna litakaloharibika sana, ili mradi tu huyo bundi ameshagundulika, atapigwa mapema sana.
Hakuna mtu wa kumgusa nkm wa ccm,yeye ndiye anaye jua siri zote za ccm
Ccm sasa kwishneyyyyyyyy
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…