Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Hahahahahaaaaaaa! Ni kazi ya mikono yangu hiyo Mkuu. Hutapata mahala pengine nje ya hapa JF. Lizaboni ni wa level nyingine Mkuu
hahahaha karushiwa na kada wa ccm kisha copy and paste

swissme
 
Lazima ashughulikiwe safari hii
Hahahaha nasikia kesho kutwa anataka kuitisha mkutano wa waandishi wa habari kujikosha eti maandalizi ya mkutano yamekamilika na wapo tayari kumpokea mwenyekiti mpya! Nimecheka sana ...!Hivi unajua hili bandiko limewaharibia watu sasa wengi wataanza kujikosha! Mi naomba wamfate Lowasa kabisa!
 
Gwajima ameshtakiwa kwa kosa la kumtukana Askofu Pengo. Si haya maneno yake ya juzi
Hilo la Kumtukana Pengo si kweli sababu Baba asko Pengo alishatutangazia sisi waumini wake kuwa amemsamehe Gwajima tena akanukuu maneno ya Bwana wetu Yesu Kristu kuwa "ee Baba Wasamehe Kwani hajui watendalo". Baba Askofu Pengo alitwambia amemsamehe Gwajima kwani hajui alitendalo. Mimi nazidi Kusisitiza Mwambie Sirro asimsumbue Baba Askofu Gwajima kwa kusema Ukweli kuwa kuna watu wanatembea nchi nzima kuwashawishi wana ccm wasimpe Magufuli uenyekiti.
 
Hakuna ccm tena,na mkome kumsemea mbovu Gwajima maana kila alichokisema leo hii ndio kinatokea
 

Mbuzi wa Mzee Kheri, anakula mahindi ya Mzee Kheri. Yote Kheri!
 
Ngwajima ni muhuni yeye kaongea uongo mwingi na kumuhusisha JK .
 
Lizaboni: Hizi ni tetesi au habari za kweli? Tuwe makini, maana kuna jamaa alileta habari ya kuteuliwa meneja wa hotel humu habari ambayo ilikanushwa. Kama ni tetesi, tuache hivyo hivyo mpaka zitakapothibitishwa.
 
Hizi kelele ni lengo kuvuta tension ya huo mkutano, Tanzania hakuna anaeweza kubishana na Rais, Mi nazani mmempa Kiki tu Luhawvi
 
Kama hali iko hivyo basi futeni kesi ya Gwajima,maana alichosema hakina tofauti sana na hiki.Vinginevyo ccm kinabaki kuwa chama chenye wanafiki wengi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…