Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Anything can happen katika CCM hi time will tell
 
Mwisho wa CCM umeshafika hakuna mwenye uwezo wa kuzuia tena
 

Ha ha ha ni wewe Lizaboni ama ni mwingine. Sio wewe uliyokuwa unabeza kuwamba hakuna mgogoro wa aina yoyote Lumumba, kazi kushabikia mambo ya wale wa Ufipa?. Dah huyu bundi aliyetua sasa inabidi tufahamu katumwa na nani maana kachanganya magamba mwanzo mwisho
 
Luhwavi mwepesi sana
Piga ua ana back-up ya JK usimu-underrate kihivyo. Kama umesikiliza hotuba ya mpendwa wetu alipohutubia wakurugenzi wapya alikuwa akiwajibu hawa. JPM naye si haba Ndugu yangu. Atatuongoza Penda usipende. Niishie hapo
 
Mashtaka yanayomkabili Gwajima ni ya kumtukana Pengo. Hakuhudhuria mara kadhaa kesi yake ilipotajwa ndipo mahakama ikatoa kibali kwa Polisi kumkamata na kumfikisha mahakamani. Kutafutwa kwake na polisi hakuna uhusiano na alichokisema kuhusu CCM
Dah seeing is believing!!
 
Liz mi naikubali kazi ya mheshimiwa ila kama anataka aoneshe dhamira ya kweli ktk hili aanze kuukana uenyekiti na wala si vinginevyo unless bisness as usual!
Humtakii mema JPM. Kwa mustakbari wa Ustawi WA nchi hii lazima kwa sasa awe mwenyekiti ili akibadili katiba ndipo aachie mwingine
 
Hahahahahaaaaaaa! Ni kazi ya mikono yangu hiyo Mkuu. Hutapata mahala pengine nje ya hapa JF. Lizaboni ni wa level nyingine Mkuu
Hivi mkuu hajakuona tu kwenye teuzi zinazoendelea? Maana umejikosha vya kutosha kuonekana.
 
Mzee wangu umenichekesha sana, wewe ni Kitwanga nini?
 
Mkuu, potezea. Kwa sasa tupo kwenye mjadala wa Luhwavi. Ukiwa na kazi ya kunisaka mimi hakika utaumia sana kwa maana mpaka unaingia kaburini hutakuja kumjua Lizaboni
Ila unapenda misifa sana, nadhani unatamani upate udc lakini umeshachelewa. Pole
 
Mkuu, potezea. Kwa sasa tupo kwenye mjadala wa Luhwavi. Ukiwa na kazi ya kunisaka mimi hakika utaumia sana kwa maana mpaka unaingia kaburini hutakuja kumjua Lizaboni
Kuna bandiko lako humu kuhusu Ester Bulaya kutembea na waume za watu. Hivyo wewe unajua kuanzia siri za watu, ukawa, ccm, ikulu, nk.
 
Yeye ni Mungu makada wasimpinge? Acha figisu figisu za kusaka tonge.
 
Mkuu lumumba sasa hali siyo shwari tena
 
Piga ua ana back-up ya JK usimu-underrate kihivyo. Kama umesikiliza hotuba ya mpendwa wetu alipohutubia wakurugenzi wapya alikuwa akiwajibu hawa. JPM naye si haba Ndugu yangu. Atatuongoza Penda usipende. Niishie hapo
Lumumba nyumba ya nyasi inateketea sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…