Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Alikatwa Oktoba 25, mkatumia nguvu, ngoja tuone safari Hii mtatumia nini akikatwa uenyekiti.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Hawa akina Luhwavi na wenzake ndio wanaotia hofu kwa wanachama wazalendo kuwa Magufuli hafai. Kumbe wana yao mambo
Na hivi JPM anashinda humu JF, huyo jamaa aachie madaraka mapema kabla aibu haijamkuta.
 
Kama kawaida Yao wameshapata mtu wa kumsingizia , lowasa angekua kua ccm wangesema lowasa ndio anafanya mpango ili maghufuli hasiwe mwenyeketi
 
Lizaboni kwa bandiko hili unadhihirisha hata wewe unatunika na ipande mmojawapo katika sakata hili,hayo siyo ya kwako nakufahamu wewe ni BONGE la "KILAZA"
 
Namuonea huruma baba wa watu Wamemtoa kafara na kumgombanisha na utawala huu! Ndio basi tena....JPM na mwendo kasi wenzake watamsambaratisha mbali sana!! Mzee Rajabu kila zama na kitabu chake! Pole sana! Ndio si-hasa hizo ulizochagua mwenyewe! Umekula imetosha sasa rudi chini upumzike!.....achia wenzako wasongeshe miaka 10 ijayo!
 
Ila unapenda misifa sana, nadhani unatamani upate udc lakini umeshachelewa. Pole
Mkuu jamaa kawapiga za uso nini mbona umepanic sana ukweli mbaya sana mwambie mzee wako luhavi ajipange mahakama ya mafisadi inamhusu.
 
Umempa ushauri mzuri sana alizoiba zinatosha huwezi kuwa unaiba kila siku halafu watu wasijue keshaisha lazima apigwe tu.
 
Gwajima alitAmka kwenye madhabahu wewe unatamka jf,kamanda siro uko wapi? Lizaboni mchochezi au kuna double STD kamanda?
 
Katiba ip hiyo unayo zungumzia wewe?
Katika IT neno ip lina maana yake ila nadhani hukumaanisha internet protocol. Kama ulimanisha neno "ipi" jibu lake ni ya nchi ambapo mgombea binafsi ataruhusiwa.
 
Lizaboni leo umeonesha ujinga wa hali ya juu, unakuja na tetesi za kuwqchafua viongozi wa Chama na kuleta mitafuruku, ndio siasa za Chama mitandaoni? Au unatumika?
 
Lizaboni leo umeonesha ujinga wa hali ya juu, unakuja na tetesi za kuwqchafua viongozi wa Chama na kuleta mitafuruku, ndio siasa za Chama mitandaoni? Au unatumika?
Ni jukumu langu kuyaweka hadharani madudu yote yanayofanyika chamani bila kujali yanafanywa na nani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…