Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Pole sana Mzee Rajab Luhwavi. Hizi ndizo siasa kuchafuka na kuchafuliwa ni wajibu.
 
Ni jukumu langu kuyaweka hadharani madudu yote yanayofanyika chamani bila kujali yanafanywa na nani
CCM ni tofauti na vyama vingine, vina utaratibu. Kuna vikao vya ndani na kwa vile unasema ushahidi upo kwa nini asiulizwe au kuhijiwa huko na kupewa adhabu au onyo kwa mujibu aa kanuni? Au uantaka kusema CCM ndio imekutuma yenyewe, kwamba labda inamuogopa face kwa face. Bado hujaiva kumbe umeteleza ndugu yangu, nilidhani kadha umeiva kindakidnaki. Haya mambo ya makumbano, tetesi, fitna mitandaoni sio ya CCM
 
Kama umetumwa shauri yako. Ila hapa JF hata Rais wetu anapata habari. Wahusika wamesikia na hatua zitafhukuliwa
 
Hiyo ndiyo tabia ya manyang'au mzoga unapoisha, wanaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe na ole wako mdomo uwe na harufu ya damu...!

Kwa uzoefu na umri wako katika siasa ulichoandika kinashangaza sana mzee.
 
Hivi huu ujasiri wa kuwatetea wezi mnautoa wapi?

Kama waliweza kumpokea Lowassa na kumsafisha na mpaka leo amekuwa mmiliki wa chama watashindwaje kuwatetea wengine wa namna hiyo
 
duuuh huyu Lizabon ni nani?
huwa ana data nyeti saana.. ni Nape, ni Shigella, ni J.Makamba? ni mwigulu, ni au ni LUSINDE ?

kubwa ya yote ni ile aliyotaja siku halis ya dr. slaa kukinukisha.
 
Hahahahahaaaaaaa! Ni kazi ya mikono yangu hiyo Mkuu. Hutapata mahala pengine nje ya hapa JF. Lizaboni ni wa level nyingine Mkuu
mkuu pokea like.. wewe level nyingine..
ila usiishie kupost humu jF tu.. kama una ushahidi peleka kwenye ngazi zinazohusika, kwa manufaa ya chama.
 
Ndio maana Mch Gwajima alipewa dhamana fasta,
Aliongea ukweli na huwenda alitumwa,asingeweza rudia sentensi moja mara nyingi vile
 
Mada hii ingekuwa na Heading hii;
NAIBU KATIBU MKUU AWANYIMA POSHO GROUP 46 LUMUMBA NAO WAMZUSHIA KUMKOSANISHA. Style ya mwaga mboga nasi twamwaga ugali. Kweli ni haki kuwaacha wafu wazike wafu wao. Leo twaweza kusikia ngumi zimepigwa Lumumba.
 
Sorry mkuu. Nilidhani hawa misukule
Upuuzi wa hivi ndio unaodhibitisha kuwa yeyote mwenye akili timamu hawezi kuwa ndani ya ccm. Yaani kwa kuwa umegundua kuwa esitena tetena ni mwenzako siyo hao unaowaita misukule umemuomba msamaha! Lakini kitu kilekile alichoandika ukidhani kuwa kimeandikwa na hao 'usiowapenda' unajibu utumbo. Kwa tabia hizi ni lini mtaweka maslahi ya taifa letu mbele?!

No wonder kila siku nyie na viongozi wenu mnawadanganya wasiojielewa kuwa mafisadi wameisha na hawapo kabisa ccm, ajabu nyie haohao mnaibuka tena kuwa N.K/MKUU wa ccm bara ni fisadi la kutupwa!
Hivi nchi hii baadhi yenu mnakula nini kinachowafanya mjidharaulishe kiasi hiki?!
 
Mi nadhani nenda chimbo tena katafute alichokuwa akifanya ktk ziara yake ya mikoani. Siyo icho ulichokileta hapa na ziara ilikuwa ya wazi na wanaccm anayefuatilia siasa ndani ya ccm anajua alichokuwa akifanya mzee Luhawavi, tuache Majungu
 
Magu ndie Rais na ndie mwenyekiti wa ccm
Ajaye.
Uzuri wa ccm
Kila MTU anauhuru WA kuiponda,kuisema na hata kuikejeli
Tofauti na Lichadema
 
Lizaboni leo umeonesha ujinga wa hali ya juu, unakuja na tetesi za kuwqchafua viongozi wa Chama na kuleta mitafuruku, ndio siasa za Chama mitandaoni? Au unatumika?
Huyo Lizabon atueleze ni nani aligharimia kazi ya kukusanya hizo tetesi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…