Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Naona watetezi wa mafisadi sasa wameanza kujitokeza waambieni wazee wenu mwizi yoyote hatasalimika kabisa.
 
waacheni wafu wakawazike wafu wao!
 
UMEYAAMINI MANENO YA GWAJIMA ULIYOYAPINGA UKASEMA NI UONGO? wewe na Gwajima kwa leo nan anaonekana mkweli ? Lizabon hueleweki sana , kabla ya kupinga habar yoyote hapa uweunafanya kwanza utafiti ili ujibu kwa usahihi. Leo unatuletea habari uliyoikataa unategemea uelewekeje?
 
Kiukweli hata mimi najua na ushahidi ninao jinsi luhavi alivyoiba pesa cha kampeni kwenye uchaguzi mkuu wa 2015,magu asipomtumbua hatukubali.
Kwanza mseme hizo pesa alizoiba Luhwavi zilitoka wapi?
 
Naona watetezi wa mafisadi sasa wameanza kujitokeza waambieni wazee wenu mwizi yoyote hatasalimika kabisa.
Kuna mtu amekuja na uzi wenye picha ya JK na January huku wakimtahadharisha JPM na chupa ya maji.Kuna uhusiano wowote na Luhwavi
 
Lizaboni utakuwa umehongwa na Lowasa ili kuleta taharuki kwenye mkutano mkuu tarehe 23 ushindwe na ulegee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…