Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Naona watetezi wa mafisadi sasa wameanza kujitokeza waambieni wazee wenu mwizi yoyote hatasalimika kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka umekojozwa basi kutwa kucha unawaza hayo hayo tu.Toka hadharani useme kama hujakojozwa
ACT Wazalendo umekitelekeza ha ha ha ha haMagu ndie Rais na ndie mwenyekiti wa ccm
Ajaye.
Uzuri wa ccm
Kila MTU anauhuru WA kuiponda,kuisema na hata kuikejeli
Tofauti na Lichadema
Hakuna umbea ambao unaumiza mkuu huu ni ukweli tena ukweli mchungu sana hasa kwa mafisadi.Sasa kama wakati wa kufanya kazi unamletea nani huu umbea wako?
waacheni wafu wakawazike wafu wao!Wadau amani iwe kwenu,
Hivi karibuni, tumeshuhudia harakati kadhaa za baadhi ya wanasiasa wa ndani na nje ya CCM wakipaza sauti zao kutaka Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa Chama hicho ili kumrithi Dr Jakaya Kikwete ambaye anatarajiwa kustaafu rasmi wadhifa huo Julai 23.
Awali kulikuwa na figisu figisu nyingi kuwa chama hakina fedha za kuendeshea Mkutano Mkuu ili tu lengo lao litimie. Thanks kwa jitihada zilizofanywa na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti Bara Philip Mangula ambao wamehakikisha kuwa fedha zinapatikana na mkutano Mkuu unafanyika Julai 23.
Hata hivyo, tunapoelekea Julai 23, yapo Mambo kadhaa yanaendelea ndani ya CCM ambayo kwa hakika yanaweza kuvuruga utamaduni ambao imejiwekea wa kukabidhiana madaraka ya Uenyekiti pindi Rais anapomaliza muda wake. This time, zipo harakati za chini kwa chini zinazoendeshwa ili Kikwete aendelee kuwa Mwenyekiti na Magufuli abaki kwenye cheo cha Urais tu.
Binafsi baada ya kuona kuwa vuguvugu hilo linazidi, ikabidi niingie chimbo ili kumnasa anayeinjinia mkakati huo. Hakika nilichokibaini kinanishtua sana. Mchawi sasa kajulikana. Ni Rajab Luhwavi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara ambaye ametwaa madaraka hayo tarehe 9 Julai 2015 mara Baada ya Mwigulu Nchemba kujiuzulu nafasi hiyo wakati wa mchakato wa kumpata Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM. Mtakumbuka kuwa Luhwavi alikuwa Msaidizi wa Rais kwenye Masuala ya Siasa kabla ya nafasi hiyo kumuachia Martin Shigela Julai 2015.
Hoja za Luhwavi kutaka Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni za kitoto sana. kwamba, Magufuli hakijui chama na hivyo yeye pamoja na genge lake wanaamini kuwa atakiharibu badala ya kukiimarisha. Hofu yao imeongezeka hasa kutokana na (kwa mtazamo wao) teuzi alizofanya Rais mpaka sasa kutozingatia kigezo cha Ukada wa CCM.
Hofu nyingine ya Luhwavi ni kupoteza madaraka ndani ya CCM. Luhwavi anaamini kuwa ikiwa Magufuli atakuwa Mwenyekiti wa CCM, hatakuwa na wadhifa wowote ndani ya chama na kwamba hata hiyo nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu ataipoteza.
Pia Luhwavi ana hofu kubwa ya kufikishwa Mahakamani kutokana na kufuja fedha nyingi zilizotengwa wakati wa kampeni. Inaelezwa kuwa Luhwavi alikihujumu chama kwa kupeleka fedha kidogo kwenye majimbo ya uchaguzi tofauti na ilivyoidhinishwa na chama. Inadaiwa kuwa kwa baadhi ya mikoa, fedha hizo hazikwenda kabisa na hivyo kufanya baadhi ya wagombea kujigharamia hali iliyochangia kushindwa kwao.
Nani anampendekeza Luhwavi awe Mwenyekiti wa CCM? Hili lipo dhahiri. Luhwavi anataka Jakaya Kikwete aendelee kwenye wadhifa huo. Matarajio ya Luhwavi ni kwamba, ikiwa Kikwete ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM, atamteua yeye (Luhwavi) kuwa Katibu Mkuu kujaza nafasi ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana ambaye ametangaza kuachia nafasi hiyo baada ya Mkutano Mkuu wa Julai 23.
Mpaka sasa, Luhwavi amezunguka kwenye mikoa kadhaa ya Tanzania Bara kuhamasisha wajumbe wa Mkutano Mkuu wasiridhie hoja ya Magufuli kuwa Mwenyekiti wa CCM. Inasemekana kuwa mpunga wa kutosha umetembea kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu ili wamkwamishe Rais Magufuli.
Hata hivyo, inaonekana dhahiri sasa kuwa mkakati wa Luhwavi na Timu yake umegonga mwamba. Mwenyekiti wa sasa Jakaya Kikwete amesema hataongeza hata sekunde moja na kwamba dhamira yake ya kwenda kulala usingizi baada ya Magufuli kushinda Urais iko pale pale. Hana mashaka hata kidogo na Rais na anawabeza wale wanaodhani kuwa Magufuli hana uzoefu wa kutosha kuongoza chama. Kwamba, kama amechaguliwa kuwa Rais wa nchi, atashindwaje kuongoza chama?
Nani walio nyuma ya harakati hizo? Nitaendelea kuwajuza kwa kadri tunavyokaribia Julai 23. Stay with me. Niwapongeze tu na kuwatia moyo baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa mikoa ya Njombe, Iringa, Dar es Salaam, Tanga, Manyara, Kilimanjaro, Mbeya na Dodoma ambao wamenipa ushirikiano wa kutosha wakati ninafuatilia jambo hili mpaka mchawi amejulikana. Mikoa hii ni miongoni mwa mikoa ambayo Luhwavi alitembelea kufanikisha mkakati wake.
UMEYAAMINI MANENO YA GWAJIMA ULIYOYAPINGA UKASEMA NI UONGO? wewe na Gwajima kwa leo nan anaonekana mkweli ? Lizabon hueleweki sana , kabla ya kupinga habar yoyote hapa uweunafanya kwanza utafiti ili ujibu kwa usahihi. Leo unatuletea habari uliyoikataa unategemea uelewekeje?Wadau amani iwe kwenu,

Kwanza mseme hizo pesa alizoiba Luhwavi zilitoka wapi?Kiukweli hata mimi najua na ushahidi ninao jinsi luhavi alivyoiba pesa cha kampeni kwenye uchaguzi mkuu wa 2015,magu asipomtumbua hatukubali.
Hao mafisadi walioko ccm unaweza kuwataja?Hakuna umbea ambao unaumiza mkuu huu ni ukweli tena ukweli mchungu sana hasa kwa mafisadi.
Mangiri naona mnararuana. Mambo hayo kamuulize mama ako uone kama ana rinda hata moja.Toka umekojozwa basi kutwa kucha unawaza hayo hayo tu.
wewe ni wakala wa nani mkuu acha unafiki subiri tarehe 23 uone huu ni muda wa mabadiliko ndani ya chama Magufuli Magufuli hawezi kuwa mwenyekiti hana uzoefu wa uongozi wa kutosha labda apewe umakamu mwenyekiti ajifunze kwanza.Hahahahahaaaaa! Mawakala wa Luhwavi utawajua tu
hakuna ukweli hapo ni majungu tuSasa mtu kusema ukweli na njaa viuhusiano gani? Yeye kamwaga ukweli jakwaani sisi full amani kuwajua hawa wezi.
Unaweza kudhibitisha wizi wake? Nyie ndio mnaharibu chama mmetumwa na LowasaHizi na zama za kunyooshana hakuna kucheka na watu wezi kama luhavi lazima wajutie wizi wao waliofanya kwa miaka nenda rudi.
Kuna mtu amekuja na uzi wenye picha ya JK na January huku wakimtahadharisha JPM na chupa ya maji.Kuna uhusiano wowote na LuhwaviNaona watetezi wa mafisadi sasa wameanza kujitokeza waambieni wazee wenu mwizi yoyote hatasalimika kabisa.
Huyo tumbo liko CCM, makalio yako Act.ACT Wazalendo umekitelekeza ha ha ha ha ha