Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Kumekucha.
Bundi wa Mwendo kasi azidi kutamalaki Lumumba kwa Madoido kabisa.
Hakuna litakaloharibika sana, ili mradi tu huyo bundi ameshagundulika, atapigwa mapema sana.
 
Kuna watu huko ccm maisha yao yamekuwa yanaendeshwa kwa kuwa makada. Wanakula kunywa kuvaa kulala na kujisaidia kwa uwepo wa ccm ya mtindo wa sasa.. Reforms zozote zinazoendelea kwao ni mambo sasa yanaenda mlama. Sindano ni chungu sana lakini nchi inapona maana ccm na Tanzania ni pande mbili za coin moja.
 
Ndio maana ukaziita tetesi na sio habari zenye uhakika kwani hazina ushahidi Bali zinamalengo ya kupaka matope upande Fulani.

Lini CCM wakavunja utaratibu wa kukabidhiana madaraka ya wenyekiti kwa kizingizio cha fedha?

Unachokisema ni sawa na mahubiri ya kitetesi ya Askofu Gwajima
 
Mungu AMETUPA Magufuli ukiwa ni kusudio lake juu ya nchi ya Tanzania. Uenyekiti wa CCM ni lazima inyeshe mvua lije jua yeye ni mwkiti wetu.

Mungu ibariki Tanzania.
 
kama alifuja pesa mbona mpaka leo hajafikishwa mahakamani? kweli CCM ni ileile mafisadi ni walewale
 
Humuamini kijana wa mitandaoni?
 
We jamaa nashindwa kukuelewa ni nani ndani ya CCM!!?
Unajua siri nyingi za serikali na chama tawala.
 
CCM wana hatari sana, wanafanya nini na huo uchafu? Wauondoe haraka sana uwende kwa Lowassa.
Nakubaliana na wewe Mkuu. Hawa akina Luhwavi na wenzake ndio wanaotia hofu kwa wanachama wazalendo kuwa Magufuli hafai. Kumbe wana yao mambo
 
wasalit ccm wapo weng sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…