Daniel mhando
Member
- Jul 8, 2016
- 9
- 1
Duh! Kaaaazi kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha ni kutwanga potepote mkuuHahahahahaaaaa! Mkuu, nimekupata. Ndio maana nimemalizia kwa kuwashukuru wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kwenye mikoa niliyoorodhesha ambao wamenipa support ya kutosha. Sikuweza kutaja mmoja mmoja kwa vile nitajaza server maana ni wengi
Naona umeamua kutomwaibisha barafu.Hahahahahaaaaa! Mkuu, nimekupata. Ndio maana nimemalizia kwa kuwashukuru wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kwenye mikoa niliyoorodhesha ambao wamenipa support ya kutosha. Sikuweza kutaja mmoja mmoja kwa vile nitajaza server maana ni wengi
Hoja hapa ni Luhwavi kuendesha kampeni za kutaka Magu asiwe Mwenyekiti wa CCM. Sasa unataka facts gani? Ina maana hiyo mikakati ulikuwa huijui?Uliingia chimbo gani au salon!! Mbona hakuna hata facts hata 1, Weka evidence za chuki zake na mizunguko yake mikoani. Neno dhahili then vijineno vinafata sio facts. Huna hata kapicha tu uongezea umbea alivyokuwa huko mikoani?
Kama umemsoma mwishoni amesema ataendelea kutupa updates kadri tunavyoelekea julai 23. Nadhani tuwe wapole tu.Uliingia chimbo gani au salon!! Mbona hakuna hata facts hata 1, Weka evidence za chuki zake na mizunguko yake mikoani. Neno dhahili then vijineno vinafata sio facts. Huna hata kapicha tu uongezea umbea alivyokuwa huko mikoani?
Mkuu hata Mimi nilitaka kuuliza swali Hilo ukaniwahi. Haya ni yale ya kukopi na ku pest
Ndo zake kukopi na kupesti then anajifanya zake! eti kafanya útafiti'.. utafiti myass!Pengine atakuwa alifanya Kozi fupi hivi karibuni hapo A3 Mkabala na Jengo / Ofisi zao.
Asante Lizaboni kwa hii taarifa muhimu. Ila wajue kuwa CCM inahitaji kuendeshwa kulingana na wakati uliopo. Sasa kila mwananchi anahoji, na siasa za kufumbiana macho, kufichiana maovu zilishapitwa. Dr. Magufuli anafaa kabisa. Na pia ktk nadharia huwa tunasema kampuni kama inaelemewa na inataka kufa huwa haitafuti kiongozi toka ndani ya kampuni, bali huleta kiongozi toka nje ili aje arejeshe uhai. Na ndivyo ilivyokuwa kipindi cha uchaguzi, Dr. Magufuli na slogan yake ya "Serikali ya Dr. Magufuli...." na siyo serikali ya CCM, tofauti na enzi za Dr. JK, yeye ilikuwa "serikali ya CCM....."Wadau amani iwe kwenu.
Hivi karibuni, tumeshuhudia harakati kadhaa za baadhi ya wanasiasa wa ndani na nje ya CCM wakipaza sauti zao kutaka Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa Chama hicho ili kumrithi Dr Jakaya Kikwete ambaye anatarajiwa kustaafu rasmi wadhifa huo Julai 23.
Awali kulikuwa na figisu figisu nyingi kuwa chama hakina fedha za kuendeshea Mkutano Mkuu ili tu lengo lao litimie. Thanks kwa jitihada zilizofanywa na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti Bara Philip Mangula ambao wamehakikisha kuwa fedha zinapatikana na mkutano Mkuu unafanyika Julai 23.
Hata hivyo, tunapoelekea Julai 23, yapo Mambo kadhaa yanaendelea ndani ya CCM ambayo kwa hakika yanaweza kuvuruga utamaduni ambao imejiwekea wa kukabidhiana madaraka ya Uenyekiti pindi Rais anapomaliza muda wake. This time, zipo harakati za chini kwa chini zinazoendeshwa ili Kikwete aendelee kuwa Mwenyekiti na Magufuli abaki kwenye cheo cha Urais tu.
Binafsi baada ya kuona kuwa vuguvugu hilo linazidi, ikabidi niingie chimbo ili kumnasa anayeinjinia mkakati huo. Hakika nilichokibaini kinanishtua sana. Mchawi sasa kajulikana. Ni Rajab Luhwavi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara ambaye ametwaa madaraka hayo tarehe 9 Julai 2015 mara Baada ya Mwigulu Nchemba kujiuzulu nafasi hiyo ili aweze kuhudumu vema nafasi yake ya Naibu Waziri wa Fedha. Mtakumbuka kuwa Luhwavi alikuwa Msaidizi wa Rais kwenye Masuala ya Siasa kabla ya nafasi hiyo kumuachia Martin Shigela Julai 2015.
Hoja za Luhwavi kutaka Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni za kitoto sana. kwamba, Magufuli hakijui chama na hivyo yeye pamoja na genge lake wanaamini kuwa atakiharibu badala ya kukiimarisha. Hofu yao imeongezeka hasa kutokana na (kwa mtazamo wao) teuzi alizofanya Rais mpaka sasa kutozingatia kigezo cha Ukada wa CCM.
Hofu nyingine ya Luhwavi ni kupoteza madaraka ndani ya CCM. Luhwavi anaamini kuwa ikiwa Magufuli atakuwa Mwenyekiti wa CCM, hatakuwa na wadhifa wowote ndani ya chama na kwamba hata hiyo nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu ataipoteza.
Pia Luhwavi ana hofu kubwa ya kufikishwa Mahakamani kutokana na kufuja fedha nyingi zilizotengwa wakati wa kampeni. Inaelezwa kuwa Luhwavi alikihujumu chama kwa kupeleka fedha kidogo kwenye majimbo ya uchaguzi tofauti na ilivyoidhinishwa na chama. Inadaiwa kuwa kwa baadhi ya mikoa, fedha hizo hazikwenda kabisa na hivyo kufanya baadhi ya wagombea kujigharamia hali iliyochangia kushindwa kwao.
Nani anampendekeza Luhwavi awe Mwenyekiti wa CCM? Hili lipo dhahiri. Luhwavi anataka Jakaya Kikwete aendelee kwenye wadhifa huo. Matarajio ya Luhwavi ni kwamba, ikiwa Kikwete ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM, atamteua yeye (Luhwavi) kuwa Katibu Mkuu kujaza nafasi ya Katibu Mkuu wa sasa Abdulrahman Kinana ambaye ametangaza kuachia nafasi hiyo baada ya Mkutano Mkuu wa Julai 23.
Mpaka sasa, Luhwavi amezunguka kwenye mikoa kadhaa ya Tanzania Bara kuhamasisha wajumbe wa Mkutano Mkuu wasiridhie hoja ya Magufuli kuwa Mwenyekiti wa CCM. Inasemekana kuwa mpunga wa kutosha umetembea kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu ili wamkwamishe Rais Magufuli.
Hata hivyo, inaonekana dhahiri sasa kuwa mkakati wa Luhwavi na Timu yake umegonga mwamba. Mwenyekiti wa sasa Jakaya Kikwete amesema hataongeza hata sekunde moja na kwamba dhamira yake ya kwenda kulala usingizi baada ya Magufuli kushinda Urais iko pale pale. Hana mashaka hata kidogo na Rais na anawabeza wale wanaodhani kuwa Magufuli hana uzoefu wa kutosha kuongoza chama. Kwamba, kama amechaguliwa kuwa Rais wa nchi, atashindwaje kuongoza chama?
Nani walio nyuma ya harakati hizo? Nitaendelea kuwajuza kwa kadri tunavyokaribia Julai 23. Stay with me. Niwapongeze tu na kuwatia moyo baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa mikoa ya Njombe, Iringa, Dar es Salaam, Tanga, Manyara, Kilimanjaro, Mbeya na Dodoma ambao wamenipa ushirikiano wa kutosha wakati ninafuatilia jambo hili mpaka mchawi amejulikana. Mikoa hii ni miongoni mwa mikoa ambayo Luhwavi alitembelea kufanikisha mkakati wake.
Nani Kada aliyeteuliwa au ulitaka amteue Peter msigwa ndiyo ujue hazingatii ukada?Eti teuzi zake hazizingatii ukada wa chama, kadanganye manunganyembe wenzako.
Hivi NCHEMBA alijiuzulu unaibu katibu mkuu wa CCM bara ili aweze kuitumikia wizara ya fedha au ili aingie kwenye MBIO za kuusaka URAIS ndani ya CCM??Wadau amani iwe kwenu.

Nakubaliana na wewe Mkuu. Hawa akina Luhwavi na wenzake ndio wanaotia hofu kwa wanachama wazalendo kuwa Magufuli hafai. Kumbe wana yao mambo