Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Hata mnara wa babeli wakati unabomoka wajenzi walianza kupishana lugha wenyewe kwa hiyo ambacho unasema Lizaboni inawezekana ni ukweli hiki chama chenu huenda kinaelekea ukingoni ndo maana mmeshaanza kuparauana wenyewe
 
Lizaboni na wenzake wanajaribu kutupa kete ya mwisho ili waonekane walimpigania Magufuli kuwa mwenyekiti.
 
Sasa unataka nimtetee Gwajima kwa lipi? Kwa kupendekeza Magufuli ahame chama na aanzishe chama chake?
Lizabon ina maana haya mambo ndiyo unayajua Leo kweli?. Na kwa taarifa yako, ajabu nyingine utakayoiona tarehe 23 ni kura zitakuwa za Siri na siyo Kama ulivyozoea. Subiri muda.lakini kwangu mm naona hata Mwenyekiti akiendelea kubaki pia ni sawa. Ili huyu mpya tumpunguzie majukumu kidogo. Sababu kiukweli inaonekana haya tu alihongayo yanamlemea si umeona Juzi tu mwenyewe kasema huwa analala saa nane usiku.

Sasa tukimwongezea na haya ya chama si atakuwa analala saa kumi usiku! Tumwonee huruma
 
Ni kawaida ya chama chetu kukabidhiana madaraka ya kichama. Endeleeni kuvumilia maumivu. Lazima wachawi wite wafukuzwe chamani
Kuna wachawi zaidi ya nyie wenyewe yaani nyie mujifanye wenye chama wakati watu wamesotea kukifikisha kilipo munajenga genge la mtandao nyie mamuluki wakubwa
 
Lizaboni na wenzake wanajaribu kutupa kete ya mwisho ili waonekane walimpigania Magufuli kuwa mwenyekiti.
Hizo ni hisia zako. Unakumbuka mwenyewe wakati ukiwa CCM kwa jinsi nilivyokuwa nachapa kazi. Pia muulize Lowasa kuhusu kazi zangu
 
Mkuu, potezea. Kwa sasa tupo kwenye mjadala wa Luhwavi. Ukiwa na kazi ya kunisaka mimi hakika utaumia sana kwa maana mpaka unaingia kaburini hutakuja kumjua Lizaboni
Tcra wakitaka kukujua watakujua tu!
 
Hoja hapa ni Luhwavi kuendesha kampeni za kutaka Magu asiwe Mwenyekiti wa CCM. Sasa unataka facts gani? Ina maana hiyo mikakati ulikuwa huijui?
Mimi nimeomba facts wewe unaniuliza swali! Kwa hiyo unasubiri niseme sijui ndipo utoe hizo facts au uniuliulize na kunicheka kwanini sijui wakati wewe unajua?
 
Hata mnara wa babeli wakati unabomoka wajenzi walianza kupishana lugha wenyewe kwa hiyo ambacho unasema Lizaboni inawezekana ni ukweli hiki chama chenu huenda kinaelekea ukingoni ndo maana mmeshaanza kuparauana wenyewe
Chama kimezaliwa upya. Wasaliti wanapaswa kwenda kutafuta maficho yao CHADEMA
 
Mbona mnaochonga sana ni UKAWA, kuna nini? Nasema bado siku 10 awe, pasukeni.
Nchi imemshinda wenye chama wameshaona kazi yake kideo tuu mafuta hakuna sukari zero mhele juu, unga usiseme nauli wacha wee yeye bado anafikiri ni Enzi za push up kumbe ni kiongozi wa watu milioni hamsini hafai kuwa mwenyekiti na siasa kazuia mpaka 2020 mwacheni
 
Ewee mwenyezimungu kiharakishe kife cha CCM,kwani ameshaugua muda mrefu bila kupata nafuu ewe mwenyezimungu ipokee dua yangu "AMEN"
 
Unaropoka tu mambo usiyoyajua
 
Kumbe Kikwete alikuwa timu moja na Luhwavi.Asante kwa taarifa
JK huwa anawajua sana wajinga wajinga kama Luhwavi. Kinachokwenda kumkita Luhwavi hakina tofauti na kilichomkuta Lowassa. JK anatumia taaluma aliyoipata jeshini kuwaangamiza maadui wa CCM.
 
Ewee mwenyezimungu kiharakishe kife cha CCM,kwani ameshaugua muda mrefu bila kupata nafuu ewe mwenyezimungu ipokee dua yangu "AMEN"
Utakufa wewe utaacha CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom