Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizabon ina maana haya mambo ndiyo unayajua Leo kweli?. Na kwa taarifa yako, ajabu nyingine utakayoiona tarehe 23 ni kura zitakuwa za Siri na siyo Kama ulivyozoea. Subiri muda.lakini kwangu mm naona hata Mwenyekiti akiendelea kubaki pia ni sawa. Ili huyu mpya tumpunguzie majukumu kidogo. Sababu kiukweli inaonekana haya tu alihongayo yanamlemea si umeona Juzi tu mwenyewe kasema huwa analala saa nane usiku.Sasa unataka nimtetee Gwajima kwa lipi? Kwa kupendekeza Magufuli ahame chama na aanzishe chama chake?
Kuna wachawi zaidi ya nyie wenyewe yaani nyie mujifanye wenye chama wakati watu wamesotea kukifikisha kilipo munajenga genge la mtandao nyie mamuluki wakubwaNi kawaida ya chama chetu kukabidhiana madaraka ya kichama. Endeleeni kuvumilia maumivu. Lazima wachawi wite wafukuzwe chamani
Tcra wakitaka kukujua watakujua tu!Mkuu, potezea. Kwa sasa tupo kwenye mjadala wa Luhwavi. Ukiwa na kazi ya kunisaka mimi hakika utaumia sana kwa maana mpaka unaingia kaburini hutakuja kumjua Lizaboni
99% ya wanasisiemu wanaishi kwa UTASHI huo uliotaja!View attachment 365934Kwangu mimi sura ya mtu huwa inanipa nusu ya tabia yake, anaonekana ni mtu aneyeishi kwa utashi wa tumbo lake tu!
Mimi nimeomba facts wewe unaniuliza swali! Kwa hiyo unasubiri niseme sijui ndipo utoe hizo facts au uniuliulize na kunicheka kwanini sijui wakati wewe unajua?Hoja hapa ni Luhwavi kuendesha kampeni za kutaka Magu asiwe Mwenyekiti wa CCM. Sasa unataka facts gani? Ina maana hiyo mikakati ulikuwa huijui?
Chama kimezaliwa upya. Wasaliti wanapaswa kwenda kutafuta maficho yao CHADEMAHata mnara wa babeli wakati unabomoka wajenzi walianza kupishana lugha wenyewe kwa hiyo ambacho unasema Lizaboni inawezekana ni ukweli hiki chama chenu huenda kinaelekea ukingoni ndo maana mmeshaanza kuparauana wenyewe
Kumbe Kikwete alikuwa timu moja na Luhwavi.Asante kwa taarifaEndelea kumuunga mkono. Ila hutafanikiwa. Kikwete kawageuka hatua za mwisho
Si mpaka Luhwavi aende kushtaki kuwa yaliyoandikwa siyo kweli. Kama ni uongo na aende TCRA basi.Tcra wakitaka kukujua watakujua tu!
Nchi imemshinda wenye chama wameshaona kazi yake kideo tuu mafuta hakuna sukari zero mhele juu, unga usiseme nauli wacha wee yeye bado anafikiri ni Enzi za push up kumbe ni kiongozi wa watu milioni hamsini hafai kuwa mwenyekiti na siasa kazuia mpaka 2020 mwacheniMbona mnaochonga sana ni UKAWA, kuna nini? Nasema bado siku 10 awe, pasukeni.
HahahahaaaaChama kimezaliwa upya. Wasaliti wanapaswa kwenda kutafuta maficho yao CHADEMA
Nimekupata, lakini angeweza kuwa mpole pia mpaka atakapopata hizo evidence!Kama umemsoma mwishoni amesema ataendelea kutupa updates kadri tunavyoelekea julai 23. Nadhani tuwe wapole tu.
Unaropoka tu mambo usiyoyajuaNchi imemshinda wenye chama wameshaona kazi yake kideo tuu mafuta hakuna sukari zero mhele juu, unga usiseme nauli wacha wee yeye bado anafikiri ni Enzi za push up kumbe ni kiongozi wa watu milioni hamsini hafai kuwa mwenyekiti na siasa kazuia mpaka 2020 mwacheni
JK huwa anawajua sana wajinga wajinga kama Luhwavi. Kinachokwenda kumkita Luhwavi hakina tofauti na kilichomkuta Lowassa. JK anatumia taaluma aliyoipata jeshini kuwaangamiza maadui wa CCM.Kumbe Kikwete alikuwa timu moja na Luhwavi.Asante kwa taarifa