Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Akili za watu wa cccm sijui zinachukuaga muda gani kufanyakazi...sasa Mbona GWAJIMA aliwasaidia kusema haya mambo mkaishia kuizingira Nyumba yake na maPOLIS
 
We jamaa nashindwa kukuelewa ni nani ndani ya CCM!!?
Unajua siri nyingi za serikali na chama tawala.
Mkuu, potezea. Kwa sasa tupo kwenye mjadala wa Luhwavi. Ukiwa na kazi ya kunisaka mimi hakika utaumia sana kwa maana mpaka unaingia kaburini hutakuja kumjua Lizaboni
 
Wewe huyohuyo uliwahi kupinga kwamba hakuna kitu kama hicho, sasa unatuletea hii taarifa ili tufanye nini?
Hao watu akili zao hadi zibambikwe kwenye Maji ndio zinafanyakazi
 
Ritual lazima zieshimike kama raisi anatakiwa kuwa mwenyekiti apewe kiti chake.

Lakini mtu kama Lizaboni kutafuta ugomvi na Luhwavi aliyekutuma akutakii mema huko ndani ya CCM ungewauliza hao akina Mwigulu nani mlezi wao aliyekuwa anawaanda kuja kuwa viongiozi wa nchi.

Hivi unadhani katoka ikulu kuja CCM tu au watu wanashughuli zao zingine muhimu kushinda unavyowazania.
 
Mwaka huu lazima mlogane kudadeki ! Imeamriwa kura ni siri , na uhakika ni kwamba 80% ni kura za hapana , 10% ndiyo na 10% za maruhani !
 
Malizia chini hapo Naibu wa Mzee Tupatupa Lumumba. Kwa sasa Dodoma. tukuamini zaidi... mkuu
 
Lizaboni uwe unanikumbuka kunipa appreciation kuwa kazi hiyo vyanzo vyake ni mimi barafu wa JF kwa kutumia vyanzo vyangu vya uhakika.
Tukutane pale pale tuendelee kuwafichua
Hahahahahaaaaa! Mkuu, nimekupata. Ndio maana nimemalizia kwa kuwashukuru wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kwenye mikoa niliyoorodhesha ambao wamenipa support ya kutosha. Sikuweza kutaja mmoja mmoja kwa vile nitajaza server maana ni wengi
 
Waacheni Wafu wazikane
Lowassa anazidi kupata pigo, huyu ndo Team Lowassa mkubwa aliyekuwa amebaki. CCM kumgundua katika hatia za awali kabisa hivyo ni Pigo kwa bosi wake(Lowassa)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…