Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Hahahahahaaaaa! Ni ekupata Mkuu. Unanikumbusha enzi zile kwenye story za akina Jimmy Apson Mwang'onda. Ulinieleza mambo mengi sana mkiwa mnasoma pale Shule ya Msingi Mbuyuni. Hakika wewe ni wa next level

Masahihisho kidogo Mkuu. Jimmy Apson Mwang'onda sijasoma nae Mbuyuni bali nimesoma nae Standard One hadi Standard Seven hapo Oysterbay Primary School enzi za Mwalimu wangu Mkuu Marehemu Mama Ng'ambi na Mwalimu wangu Mpendwa wa darasa la kwanza Marehemu Mwalimu NUNDUMA. Na kama haitoshi huyo Mshikaji wako Jimmy nimesoma nae pia Kindergarten hapo St. Peters 1984 hadi 1985 ndipo tukaanza nae wote la kwanza mwaka 1986. Hakuna Mtu ambaye nilikuwa nikimpiga " makwenzi " kama Jimmy na sitokuja kusahau kuna siku alipoona nazidi kumuonea akajifanya kunikaribisha kwao hapo jirani tu na Shule kuna round about ambapo kwa ndani hivi kuna Josheo la Mbwa kipindi hicho " Mshua " wake alikuwa wa kawaida mno IDARANI ( Eagle Wing House ). Hivyo aliponikaribisha tu kwao nami nikaenda nikijua kuwa ameshazoe mateso niliyokuwa nikimpa ya kumpiga " makwenzi " kila mara ndipo nilipofika tu kwao akaniambia nisubiri kibarazani kwao ila bahati nzuri alisahau kufunga geti lao ambapo mwenyewe nikiwa nimejibweteka kabisa jamaa kumbe ile kuniambia nimsubiri kaenda kumfungulia " ng'ang'a " bonge la Mbwa mithili ya ndama aje kuniuma na kilichofuata hapo Mkuu nadhani kama kipindi kile kulikuwa na Watu wanaotafuta VIPAJI vya MARATHON basi kwa ile spidi niliyotoka nayo mule ndani kwao na jinsi nilivyokuwa naikatiza mitaa yote ya Oysterbay kwa kutoka " nduki " ningeiletea sana Tanzania MEDALI za dhahabu. Na nakumbuka katika kimbia yangu hiyo Viatu vyangu nilimwachia yule Mbwa acheze navyo nami nikawa natoka nduki peku.

Baada ya hilo tukio Jimmy aliviokota vile viatu vyangu na kuviweka ambapo Kesho yake alikuja navyo Darasani kisha akanipa Sharti kuwa ili anirudishie inabidi nimuahidi kuwa sitomuonea tena na kweli cha " utundu " mimi nikaufyata na tokea siku hiyo sikuwa namuonea tena Jimmy. Huwa nikimwona siku hizi " mitaani " huwa nabaki kucheka tu Mkuu.

Nisalimie sana Jimmy Mkuu na mwambie Shikamoo.
 
Kumbe Gwajima alikuwa sahihi aliposema C.C.m. wanazunguka mikoani kuonga wajumbe ili ngosha asiwe m.kiti
 
Nisipokutania Wewe Mwana CCM mwenzangu tuliyepambana humu na " Nyumbu " wakati wa KAMPENI mwaka jana hadi Mpendwa wetu Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akashinda Urais nitamtania nani Mkuu? Hata siku moja sitoweza " kukuvunjia " heshima humu na nakuomba tu kuwa na AMANI kabisa na Mimi kwani NAKUKUBALI pengine kuliko unavyodhani au unavyonihisi. Hivi ninaanzaje " kumchukia " au kumpiga " dongo " mwana CCM mwenzangu tena ALIYETUKUKA kama Wewe? Tupo " pamoko " Mkuu ondoa shaka.

Hadithi zingine za kufarijiana, nani aliyewambia wewe na Lizaboni mna heshima mpaka hamtaki kuvunjiana!!!!
 
Eti Mkuu Lizaboni kwahiyo Gwajima alisema kweli na sio uchochezi.....
 
Masahihisho kidogo Mkuu. Jimmy Apson Mwang'onda sijasoma nae Mbuyuni bali nimesoma nae Standard One hadi Standard Seven hapo Oysterbay Primary School enzi za Mwalimu wangu Mkuu Marehemu Mama Ng'ambi na Mwalimu wangu Mpendwa wa darasa la kwanza Marehemu Mwalimu NUNDUMA. Na kama haitoshi huyo Mshikaji wako Jimmy nimesoma nae pia Kindergarten hapo St. Peters 1984 hadi 1985 ndipo tukaanza nae wote la kwanza mwaka 1986. Hakuna Mtu ambaye nilikuwa nikimpiga " makwenzi " kama Jimmy na sitokuja kusahau kuna siku alipoona nazidi kumuonea akajifanya kunikaribisha kwao hapo jirani tu na Shule kuna round about ambapo kwa ndani hivi kuna Josheo la Mbwa kipindi hicho " Mshua " wake alikuwa wa kawaida mno IDARANI ( Eagle Wing House ). Hivyo aliponikaribisha tu kwao nami nikaenda nikijua kuwa ameshazoe mateso niliyokuwa nikimpa ya kumpiga " makwenzi " kila mara ndipo nilipofika tu kwao akaniambia nisubiri kibarazani kwao ila bahati nzuri alisahau kufunga geti lao ambapo mwenyewe nikiwa nimejibweteka kabisa jamaa kumbe ile kuniambia nimsubiri kaenda kumfungulia " ng'ang'a " bonge la Mbwa mithili ya ndama aje kuniuma na kilichofuata hapo Mkuu nadhani kama kipindi kile kulikuwa na Watu wanaotafuta VIPAJI vya MARATHON basi kwa ile spidi niliyotoka nayo mule ndani kwao na jinsi nilivyokuwa naikatiza mitaa yote ya Oysterbay kwa kutoka " nduki " ningeiletea sana Tanzania MEDALI za dhahabu. Na nakumbuka katika kimbia yangu hiyo Viatu vyangu nilimwachia yule Mbwa acheze navyo nami nikawa natoka nduki peku.

Baada ya hilo tukio Jimmy aliviokota vile viatu vyangu na kuviweka ambapo Kesho yake alikuja navyo Darasani kisha akanipa Sharti kuwa ili anirudishie inabidi nimuahidi kuwa sitomuonea tena na kweli cha " utundu " mimi nikaufyata na tokea siku hiyo sikuwa namuonea tena Jimmy. Huwa nikimwona siku hizi " mitaani " huwa nabaki kucheka tu Mkuu.

Nisalimie sana Jimmy Mkuu na mwambie Shikamoo.
Dah! Mkuu, ahsante kwa sahihisho. Ni kitambo kimepita. Hata hivyo, kwa wale uliosomanao na wapo humu hakika wamefarijika sana kwa hili rejeo lako.
 
Mkuu mbona uko nje ya mada?
 
sasa Gwajima alipowaambia mbona mlipinga kwa nguvu?? vichwa vyenu!
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Hawa akina Luhwavi na wenzake ndio wanaotia hofu kwa wanachama wazalendo kuwa Magufuli hafai. Kumbe wana yao mambo
Huyo jamaa ni mnafiki sana toka zamani...ila ameshawekwa chini hana madhara tena...
 
Tuna hitajis viwanda..na maendeleo Hayas ya Umbea hayatusaidiiiiiiii ngoo...ooooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom