Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Tatizo la watu wa cccm akili zao zinafanyaka pole pooleee....wangemuelewa Gwajima siku zile wasingepoteza gharama yakutuma Askari kuzingira Nyumba yake... Mnakuja kuzinduka na kupeana Pongezi Gwajima anawaangalia mnavyorukaruka kwa watu wanaoelewa mambo Taratibu namna hii kwanini Zaidi ya 50yrs ya Uhuru bado tunajadili Madawati
Gwajima ana yake na sisi tuna yetu. By the way hakuna aliyemtuma amtukane Askofu Pengo
 
Hao makada wanahoji ni akina nani??? Wakati wa MWINYI akimkabidhi MKAPA na MKAPA akimkabidhi KIKWETE utaratibu ulikuwaje??? By the way hivi uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ni lini????
mjibu kwanza maswali yake kama alivyokuuliza ndipo nawe umuulize.mbona kila jambo mnalielekeza chadema?hadi mnatia kichefuchefu.
 
Hakina anayechafuliww hapa ila madudu ya Luhwavi yamewekwa hadharani. Kama alikuwa anadhani hatumjui basi na amejulikana
Pambana Kiongozi wako unayemtaka awe katibu mkuu maana ndiyo Vita ndani ya chama hili la kuchafuana ccm ndiyo kawaida yenu kila mkutano mkuu unapokaribia kumbuka kuvua gamba mlichafuana kutafuta mgombea Wa urais mlichafuana na sasa kukabidhi kijiti kama taratibu za chama chenu mnachafuana kisa ukatibu mkuu
 
Sijakurupuka Mkuu. Upo sahihi kabisa. Uchunguzi huu nimeufanya muda mrefu na ninachoshukuru ni kwamba waliofanikisha kuumbuka mkakati huu ni miongoni mwa wanaoinjinia.
mkuu,hakyanani safari hii lazima upewe ukatibu tarafa, tena kwenye wilaya niliyopo. Karibu Mheshimiwa.
 
Hivi huu ujasiri wa kuwatetea wezi mnautoa wapi?

Nimemtetea mwizi gani wapi? Wewe jamaa wa wapi wewe! Huko Songea kuna shule kweli?

Mimi siwezi kutetea mwizi hata siku moja! Mtu pekee anayeweza tetea wezi ni CCM na ngiri wote wanoiunga mkono.

Majizi yote ni Ya CCM na ndo chama kinachowatetea. Kama unabisha sema hapa kama kuna Jizi unalijua halikuiba likiwa CCM!
 
Mkuu, kwa hiyo ulitaka nisimtaje jina? Siwezi kufanya hivyo hata kidogo. Ninapoamua kueleza jambo sina cha kuhofia hata kama mods wataondoa uzi ama kunipiga ban. Ninakuwa nimejiandaa kisaikolojia
umesomeka mkuu.umetimiza ule msemo wa "no research,no right to speak".
 
Pambana Kiongozi wako unayemtaka awe katibu mkuu maana ndiyo Vita ndani ya chama hili la kuchafuana ccm ndiyo kawaida yenu kila mkutano mkuu unapokaribia kumbuka kuvua gamba mlichafuana kutafuta mgombea Wa urais mlichafuana na sasa kukabidhi kijiti kama taratibu za chama chenu mnachafuana kisa ukatibu mkuu
Sina mtu ila napenda chama kiwe na viongozi jasiri kama Magufuli. Akipewa Mangula kuwa Katibu Mkuu hakika nitafurahi sana
 
Sina mtu ila napenda chama kiwe na viongozi jasiri kama Magufuli. Akipewa Mangula kuwa Katibu Mkuu hakika nitafurahi sana
Hongera kwa kupigania chama chako ushauri wewe na vijana wenzako muache makundi kuchafuana na unafiki Na kutukana msiowakubali
 
Wewe huyo huyo uliwahi kupinga kwamba hakuna kitu kama hicho, sasa unatuletea hii taarifa ili tufanye nini?
Ndio yeye huyo huyo aliyewahi kuleta taarifa kuhusu Dr Slaa kuachia ngazi chadema, na ikawa kweli.
 
CCM bana, yaani hakuna anaemuamini mwenzake aisee! Na kama msipokua makina mtaingia kusiko muda sio mrefu. Kuna watu walitafuna zile shule za jumuiya ya wazazi, wakikumbuka tar 23 ni tumbo la kuhara ghafla.
Btw, wezi wote na wahujum uchumi wapo ccm na ndo ndo JPM aliowasema kua "nchi imefika ilipo kwa sababu ya majizi"

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kweli kabisa mkuu, ccm sasa hakuna gia zinazo ingia
 
UVCCM ni ngazi ya wasaka vyeo , Tumeambiwa ndani ya uzi huu kwamba mleta uzi ni Team Bulembo , hivi kweli Lizabon anaweza kutumika na bulembo ! Ama kweli njaa haina huruma .
Kuna msemo usemao hivi....MWENYE NJAA HACHAGUI CHAKULA....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom