Naona TRC wanataka kwenda kununua treni la diesel for emergency lakini me najiuliza kwani haliwezi kutumia gas?
Diesel tunanunua nje ila gas tunazalisha hapa sasa kwanini tusitumie la gas ili dollar zibaki hapa hapa.
Mbaya zaidi President wetu ndo kinara wa nishati safi Africa halafu eti nchi yake inaenda kununua treni la diesel aargh sio sawa aisee.
Kadogosa, hebu pambaneni tupate la gas hata kama ni la emergency.

Tanzania to procure hybrid diesel engines as backup for SGR
These engines will serve as a backup to the electric-powered SGR system, ensuring reliability and continuity.