Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli mkuu na hata huyo Ruto ni mwanafunzi wa Raila Odinga kwenyeSiasa za Kenya haziendi kama za huku bongo,,,hao ni wazee wa cartles ,hata hayo maandamano ya Gen Z kuna mtu alikua anasakwa tu atolewe kafara na kweli akaingia kwenye 18 zao,,,,mkalenjin ni rahisi sana kupatana na mjaluo kuliko kupatana na mbantu mkikuyu
Ananguvu sana ndio maana maraisi wote huwa wanajiweka karibu naeKikubwa mambo yake yanaenda,,,,huyo hata asipokua serikalini bado ana nguvu kuliko hata huyo makamu au hata mawaziri wa kwenye hio serikali
Wana price tagWa Tanzania hawajielewi?
Njaa zina wasumbua sio. ?Wana price tag
Ubinafsiiiii....njaaaaNjaa zina wasumbua sio. ?
Ndio shida inatakiwa wawe na biashara kama wana siasa wa upinzani wa KenyaUbinafsiiiii....njaaaa
Msigwa ni aibu.....njaa iko kichwani imeua ubongo....anaropoka tu....hata wakumteua wanajuta naamini hivyo.....kapeleka story uomgo mzee wa watu skauliwa....hakuna lolote alilokuwa nalo...Ndio shida inatakiwa wawe na biashara kama wana siasa wa Kenya
wasikae tu kutegemea siasa. Check mfano wa Raila, akina Mike Sonko
Ali Hassan Joho na wengine wengi wana biashara na ni mtajiri hata
akikaa bench miaka 5 hawalii ovyo kama Mchungaji Msigwa.
Joho,John, kuwa mwenyekiti, poa Umakamu wa Rais ungemfaa JohoBaba Raila Odinga chama mpe James Orengo,Hasan joho na Edwin Sifunawatu wenye misuli ya kutetea wananchi sio madalali
Ina sikitisha sana kwa kweli njaa mbaya inaondoa utu wa mtu ukiiendekeza.Msigwa ni aibu.....njaa iko kichwani imeua ubongo....anaropoka tu....hata wakumteua wanajuta naamini hivyo.....kapeleka story uomgo mzee wa watu skauliwa....hakuna lolote alilokuwa nalo...
Ambalo tishio kwa usalama wa nchi.....damu yake haitamuacha salama....muda utasema
Kwa sasa ni waziri wa Madini na uchumi wa bahari/blue economy.Joho,John, kuwa mwenyekiti, poa Umakamu wa Rais ungemfaa Joho
Baba Raila Odinga anakua Naibu Rais baada ya Gachagua kufurushwa ofisinRaila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona
ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.
Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
mwenyekiti wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama.
Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
Ngojea tusubiri inaweza kutokea.Baba Raila Odinga anakua Naibu Rais baada ya Gachagua kufurushwa ofisin
Naona kama mbinu ya vigogo wa Kenya kumpotezea. Tofauti karibu na viongozi karibu wote ndiye pekee mwenye fikra kuiona kenya yenye uchumi wa kumjali kabwela. Wengine wamejaa ukabila, ubinafsi na ni wapenda rushwa na ubwanyenye. Wanasiasa wengine wamekua wanamtumia tu kuingia bungeni huku wakiogopa asije kuweza kua rais. Sasa wanaona kashazeeka wamepata namna ya kumuweka pembeni au tuseme kumstaafisha.Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona
ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.
Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
mwenyekiti wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama.
Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
Orengo alipinga Ushiriki wa ODM kwenye serikali, hata babu owino na sifuna walipinga so wanaliwa timing tu!!Safi kwa kuweka vizuri mkuu, kwa nini Senior Counsel James Orengo hajawa
kwenye nafasi hapo juu.
Na Wakenya wanasema atakosa huko AU japo mimiNaona kama mbinu ya vigogo wa Kenya kumpotezea. Tofauti karibu na viongozi karibu wote ndiye pekee mwenye fikra kuiona kenya yenye uchumi wa kumjali kabwela. Wengine wamejaa ukabila, ubinafsi na ni wapenda rushwa na ubwanyenye. Wanasiasa wengine wamekua wanamtumia tu kuingia bungeni huku wakiogopa asije kuweza kua rais. Sasa wanaona kashazeeka wamepata namna ya kumuweka pembeni au tuseme kumstaafisha.
Ni kweli nilimsikia Orengo akipinga, Babu Owino pia hakupigaOrengo alipinga Ushiriki wa ODM kwenye serikali, hata babu owino na sifuna walipinga so wanaliwa timing tu!!
Yana ukweli haya mkuu au ndio siasa za maji taka?CATHERINE RUGE AWALAZA CHUMBA KIMOJA MBOWE NA SALUM MWALIMU
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kuzama kwenye mgogoro wa ndani unaochochewa na mahusiano tata ya kimapenzi baina ya viongozi wake wakuu.
Mapenzi haya yameleta mfarakano mkubwa katika uongozi wa chama, hali inayotishia kuathiri mustakabali wa kisiasa wa CHADEMA mbele ya wapiga kura.
Habari za ndani zinadokeza kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) Taifa, Catherine Ruge, aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, na wawili hao wamejaliwa kupata mtoto mmoja.
Hata hivyo, mahusiano yao yamefifia huku Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe, akihusishwa kuwa mpenzi mpya wa Catherine, jambo ambalo limezua uhasama mkubwa na kuzidisha mgawanyiko ndani ya chama.
Viongozi wanasema kuwa mgogoro huu wa mapenzi umemuharibia Salum nafasi yake ya ushawishi, huku chama kikimshuku kuwa huenda anapanga kujiunga na CCM kutokana na kusifia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan.
Kutengwa kwake kisiasa kumekuja na matokeo makubwa, kwani mara kadhaa amewekwa pembeni kwenye vikao vya maamuzi vya CHADEMA, huku ikielezwa kwamba hata hoteli anayofikia Mbowe haimruhusu Salum kuingia, ikitoa nafasi kwa Mbowe na Catherine kufurahia uhusiano wao bila kizuizi.
Migogoro ya aina hii si tu inachochea mgawanyiko bali pia inapoteza imani ya wanachama na umma kwa ujumla.
Badala ya kuimarisha upinzani dhidi ya CCM, viongozi wa CHADEMA wanajihusisha na migogoro binafsi inayochochea fitina na usaliti.
Ikiwa hali hii haitadhibitiwa, chama kinaweza kuendelea kudhoofika, kikikosa umoja na dira, na hatimaye kupoteza nafasi yake kama mpinzani imara wa kisiasa nchini.